Udhalimu unaujua wewe! Halafu hii lugha ya kusema nchi haitakaa ipewe mtu kama yule, wewe binadamu mwenzangu huwa unaipata wapi aisee!Nchi hii haitakaa ipewe tena kwa dhalimu wa vile.
Hakuna kesi hapo, ni swala la muda tu....Hata hivyo, Sabaya na wenzake Sylvester Nyegu, John Aweyo na Nathan Msuya wataendelea kubaki Mahabusu kutokana na Kesi nyingine ya Uhujumu Uchumi waliyonayo Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi..!
Duu, cheap rhetoric from cannavaro, my ndugu it is more than you think. The Gov. should be more careful than turning it into politics. I cannot imaging Bunge and The GOV instead of looking for the solution they are focusing to shut down the media and wanaharakati. Hii nalo sii utatuzi, kumtafuta aliereport sio utatuzi kwani ni waongo? Je wamasai wote walikubali kuhama? Kauli ya Spika sii nzuri ni ya kuleta vurugu na mateso kwa wanaharakati na kuitwa wachochezi sio sahihi. Nchi haipaswi kuongozwa kwa ubabe na vitisho viashiria vyote mmevianzisha kwa kugrade maineo yao kuwa mbuga za hifadhi hapo hapo Bungeni kupitia Wizara ya mailasili je hizi si chanzo cha mgogoro kama mliamua hili bila kuwashirikisha?. Kaeni chini na wamasai muelewane hao mnaowaita wachochezi hawatapata nafasi bali wataaibika.Wamasai wasiwe wabishi, wameshatengewa eneo la kuhamia shida nn? Wanyama hawawezi kuishi na binadam over!
Kwahiyo hao wamasai wana nini spesho ambacho Watz wengine hawana? Wahame kwa upendo tu, vinginevyo watakula kichapo kizitoTukutane 2025,
Jpm mwimgine lazima achomoze, mtetezi wa rasilimali zetu na watu wanyonge!
"Ukinizingua nitakuzingu"....Ogopa watu wanaongea kwa taratibu na kucheka kidogo.
Wako wapi wakulima hapa?Hizo ni picha za mapambano ya wamasai (wafugaji) na wakulima.
Punguani ktk sura nyingine...Ulitaka wafanyaje kama wamegoma kuhama
Wewe ulitaka picha za Askari waliochomwa mishale na kufariki ili usherehekee?Unamaanisha wanaharakati ndio waliowapiga masai risasi.
Waondolewe ili akae /amilikishwe mwarabu sio....!!?🤔Serikali na Taifa lina haki ya kulinda rasilimali zake. Sasa kama hawataki kutii mamlaka halali lazma hazina ya Taifa Ngorongoro ilindwe kwa gharama yoyote. Ngorongoro na Loliondo Sio mali ya Wamasai wengi ni wahamiaji na wavamizi tuu waondoke mara moja. Vinginevyo watachakaa.
Nenda uingie front uwasaidie MasaiHii haikubaliki! Ni uharamia kwa raia wenzetu. Si mmejisifu uonevu ulikuwa enzi ya Mwendazake? Hiki ni nini?
Udhalimu unaujua wewe! Halafu hii lugha ya kusema nchi haitakaa ipewe mtu kama yule, wewe binadamu mwenzangu huwa unaipata wapi aisee!
Nchi hii, hata JPM alikuwa mpole, hakufanya kile kilitakiwa, haiwezekani wachache tuu ndio wawe na hati miliki ya nchi hii, wanajilia nchi watakavyo, wengine mnaishia kutozwa kodi tuu halafu wanaenda kugawana hapo juu!!
Binafs nataka aliye zaidi ya JPm