Picha Zinatisha: Akamatwa na kichwa cha binadamu huko Mbeya

Hata kama ni Mbeya...lakini kamwe hawezikuwa mnyakyusa...atakuwa either Mkinga ama mchagga huyo....hao ndio wanatuharibia mbeya yetu kwa ushirikina.
 
RIP marehemu mwenye kichwa, huyo jamaa mngine akafie jela!
 
huyo mbona kama anaonekana alitumwa tu sio end user
kama alipewa zabuni ya kwenda kukitafuta hicho kichwa kisha akipeleke kwa tajiri apewe pesa yake.hana muonekano wa mfanyabiashara
Huwezijua, nasikia kuna watu ukiambiwa huyo ndo mwenye ghorofa fulani huwezi amini alivyo kutokana na mashart ya utajiri wanayopewa!
 
Back
Top Bottom