Picha Zinatisha: Akamatwa na kichwa cha binadamu huko Mbeya

Kwa waliofika mbeya huo mlima unaoonekana kwenye picha upo mbeya?
Ukiangalia kwa makini kuna shughuli za kulima barabara zinaendelea kwenye ilo eneo.
Kuna uwezekano mkubwa hiyo barabara inayolimwa imepita kwenye makaburi,hivyo wakati greda linalima iyo barabara likawa limechimbua kaburi.
uyo bwana katika pitapita zake akiokojetea hicho kichwa kilo chimbuliwa na kukatwa na greda.
Nb: hizo fikra zangu binafsi
 
Tunaweza kuchangia hii habari lakini isiwe ya kweli naomba mod wathibitishe kwanza:
1.Huyo mtu amekatwa maeneo gani Mbeya?
2.Je hizo ni taarifa za Polisi?
3.Tukio hilo ni zito na lina dhalilisha mkoa wa Mbeya na makabila yake sasa watu wanaweza kutoa maoni kwa tukio hewa
4.Tukio limetokea lini maana kwa uzito wake lisingekosekana kwenye Tv leo

Angalizo
KUNA TENSION YA MIKUTANO YA CCM DODOMA HIVYO TUNAWEZA KUONDOLEAA KWENYE MAMBO YA MSINGI NA KUANZA KULAUMIANA
ANGALIA SUALA LA MUNYIKA
hakuna mkoa una wachawi kama Mbeya.....biashara zote zinaendeshwa kishirikina
 
Back
Top Bottom