Picha Zinatisha: Akamatwa na kichwa cha binadamu huko Mbeya

Sa wale wanatokea Mbeya?hrf mbona pamoja na kuwa na magorofa k.koo hawana matukio ya ajabu kama ya hawa Ndugu zetu wa nbeya?
Yawezekana huwafahamu vizuri.wale asili yao ni iringa lakini ndio wamejikita sana katika mkoa wa mbeya
 
Matajiri wote wanapata mali na kuzilinda mali Kishirikina.Waofuga ndondocha ni wa wapi vile?
 
Hatuwezi kutunga sheria ya kukataza waganga wa kienyeji maana hawa wanaleta shida nyingi sana kwa jamii,
 
Back
Top Bottom