Katika hali ya kushangaza wengi mwanaume mmoja ambaye ni mfanyabiashara huko Mkoani Mbeya, amekamatwa na kichwa cha binadamu baada ya kufukua kaburi na kachukua kichwa cha marehemu, inadaiwa alifikia maamuzi hayo ili afanikiwe kibiashara.
Daah kweli picha inatisha. Kwa jinsi kichwa cha maiti kinavyoonekana ni rahisi kwa ndugu kumtambua mpendwa wao aliyefukuliwa na kunyofolewa kichwa chake. Fikiria maiti iwe ni ya ndugu yako kisha uone kichwa chake kimekatwa na kubebwa vile!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.