Picha Zinatisha: Akamatwa na kichwa cha binadamu huko Mbeya

Tukisema waaminio hizo imani za kishirikina mnatuona wazushi!

Sasa huyo jamaa hata kimuonekano tu anaonekana kichwani hazimtoshi!
 
Tunaweza kuchangia hii habari lakini isiwe ya kweli naomba mod wathibitishe kwanza:
1.Huyo mtu amekatwa maeneo gani Mbeya?
2.Je hizo ni taarifa za Polisi?
3.Tukio hilo ni zito na lina dhalilisha mkoa wa Mbeya na makabila yake sasa watu wanaweza kutoa maoni kwa tukio hewa
4.Tukio limetokea lini maana kwa uzito wake lisingekosekana kwenye Tv leo

Angalizo
KUNA TENSION YA MIKUTANO YA CCM DODOMA HIVYO TUNAWEZA KUONDOLEAA KWENYE MAMBO YA MSINGI NA KUANZA KULAUMIANA
ANGALIA SUALA LA MUNYIKA
 
Mm mwenyewe napata ukakasi sana juu habari hii
 
Utajiri wa mwendo kasi. Mbeya kama Nigeria; makanisa mengi,ila ....
 
huyo mbona kama anaonekana alitumwa tu sio end user
kama alipewa zabuni ya kwenda kukitafuta hicho kichwa kisha akipeleke kwa tajiri apewe pesa yake.hana muonekano wa mfanyabiashara
huyo ni teja kabisa hata biashara ya kuuza karanga haiwezi
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Tunaweza kuchangia hii habari lakini isiwe ya kweli naomba mod wathibitishe kwanza:
1.Huyo mtu amekatwa maeneo gani Mbeya?
2.Je hizo ni taarifa za Polisi?
3.Tukio hilo ni zito na lina dhalilisha mkoa wa Mbeya na makabila yake sasa watu wanaweza kutoa maoni kwa tukio hewa
4.Tukio limetokea lini maana kwa uzito wake lisingekosekana kwenye Tv leo

Angalizo
KUNA TENSION YA MIKUTANO YA CCM DODOMA HIVYO TUNAWEZA KUONDOLEAA KWENYE MAMBO YA MSINGI NA KUANZA KULAUMIANA
ANGALIA SUALA LA MUNYIKA
Usitumie nguvu, Mbeya na Geita,shinyanga,mwanza ni wachawi sana. Lakini si Wote, kuna wengine ni wateule wa Mungu na hopefully we ni mmoja wao.
 
Mh!Huyo mtu mwenyewe mbona anaonekana kama hamnazo vile, ndo maana ameweza kufanya jambo kama hilo.

Lakini Mbeya inaweza kua inaongoza kwa matukio ya ajabu ajabu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom