Dressing Code ya First Lady - Mama Janet P. Magufuli kwa kipindi hiki kifupi nimeona kama anapendelea kuvaa nguo za color patterns nyingi. Katika picha hii hapo juu amevaa nguo ambayo kidogo inafanana na ile aliyokuwa nayo kwenye mgahawa airport Mwanza, juzi wakati wa kumuaga Odinga nyumbani Chato, n.k. Ninafamu uchaguzi wa nguo ni taste ya mtu binafsi, lakini nadhani kwa sasa hivi she is a national figure na kwa hali hiyo kila atakacho kifanya kinakuwa kwenye public scrutiny. On the contrary mama Janet Kagame is in black, rangi ambayo inakubalika kama rasmi. Vile vile first ladies wengine kama akina Michele Obama mara nyingi utawaona katika nguo za rangi moja. Hilary Clinton,na wengine wenye nyazifa hizo naona utakuta mara nyingi katika shughuli za kiserikali wanavaa nguo za rangi moja. Mama Salma Kikwete alikuwa ni mpenzi wa kuvaa vitenge/java na kwa hiyo labda hicho kinakubalika kwa sababu sijawahi kuona kitenge au java ya single pattern color. Kwa maana hiyo basi, labda kuna haja personal assistants wa Mama Magufuli kumshauri mwenendo wa aina ya mavazi kulingana na wadhifa wake kwa sasa hivi. I mean, issue ya personal preference kwa sasa hivi aachane nayo.