Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,594
Amen!
WERE Doing... KatishaHaujui Kiingereza!
ha hahahaSaaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
Aacha huo ushetani..unaleta habari ya kiwete hapa haukuna muswahili banaMy take Magufuli should be extra care with Kagame. No one knows what Kagame were doing in DRC
Hongera Dr Magufuli
Kagame ni product ya Kitutsi na Magufuli ni product ya Kihutu.Kagame kamfunika JPM, kwanza hana Kitambi....!
😉😉😉
ha ha ha we jamaa umeua aiseee.Saaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
Ajifunze nini ?Maguful ajifunze sasa
Hahahhahhahahah umejuaje mkuuha ha ha we jamaa umeua aiseee.
Bila shaka utakuwa muhandishi uliyepitia yale CoeT
Anzisha uzi mkuuKagame kamfunika JPM, kwanza hana Kitambi....!
😉😉😉