PICHA: Ziara ya Rais Magufuli nchini Rwanda

PICHA: Ziara ya Rais Magufuli nchini Rwanda

Mtajifunza mengi kwa nchi ambayo miaka 20 iliyopita ilitekeyezwa ikaisha lakini leo wanatuzidi kila kitu!
 
Kila nchi na utamaduni wake.

Hakuna taifa ambalo halina utamaduni wake.
Utamaduni mwengine ni wakishenzi,haupaswi kuendelezwa.

Utamaduni wa Wamasai wa kujizonga mashuka inafaa seeikali iingilie kati waache maramoja.
 
Mjasili haachi asili yake. Stupid post

Ni rahisi kusema kwa kuwa wengine ndiyo wanafanya, wewe hapo ukiambiwa sasa hivi ushike hilo linyoka na kucheza hizo ngoma hauwezi kukubali au mtoto wako akichukuliwa kuchezeshwa hizo ngoma utagoma lkn uko hapa kutetea wengine waendele kuchezea majoka!
 
Utamaduni mwengine ni wakishenzi,haupaswi kuendelezwa.

Utamaduni wa Wamasai wa kujizonga mashuka inafaa seeikali iingilie kati waache maramoja.
Unatumia kipimo gani kinachotambulika ili kufahamu utamaduni fulani niwa kishenzi?

Inawezekana kuna wengine wanaamini pia utamaduni wako niwa kishenzi!
 
Utamaduni mwengine ni wakishenzi,haupaswi kuendelezwa.

Utamaduni wa Wamasai wa kujizonga mashuka inafaa seeikali iingilie kati waache maramoja.
Wewe kweli unahitaji tiba Apollo
 
Unatumia kipimo gani kinachotambulika ili kufahamu utamaduni fulani niwa kishenzi?

Inawezekana kuna wengine wanaamini pia utamaduni wako niwa kishenzi!

Kuna tamaduni ambazo haziendani na wakati na hatuna budi kuziacha na hii ni Dunia nzima, jamii zinakwenda zikibadilika, nina uhakika wewe leo hii kama ukioa mmasai halafu mtoto wako akaambiwa avae mashuka siku zote kama utamaduni wao unavyotaka hauwezi kukubali, sasa kwanini?
 
Post ya kijinga..............muda si mrefu utasema umeyapenda na mafuvu ya Rwanda...na sisi tuwe na ya kwetu. Umejuaje kuwa ni Rwanda kama wasingekuwa na hiyo identity. Ndo nyie mnaendaga kula kwa jirani sikukuuu wakati na kwako wamepika...........ujinga huo.
 
We utakuwa mnyarwanda.... kwa hii picha mbona sioni tofauti na sisi.... na kumbuka sisi tuna makabira zaidi ya 120 sasa unaacha nini na kufuata nini wao ni makabira mawili tu.... penda chako bana...
 
kesho akienda ethiopia tutaiga na huo? akikanyaga marekani je? utasema na huo tuige?
 
We utakuwa mnyarwanda.... kwa hii picha mbona sioni tofauti na sisi.... na kumbuka sisi tuna makabira zaidi ya 120 sasa unaacha nini na kufuata nini wao ni makabira mawili tu.... penda chako bana...

Hakuna kitu kama kabla Tanzania wala Rwanda, umelishwa uongo na Wazungu!
 
Hizo picha ziko 'on the Rwandan side' of the border. What is on the Tanzanian side? Anybody with pictures?
 
Hilo koti sio bure tu...linamsaidia ku conceal ile pistol yake.

Unakumbukumbu sana mkuu, hilo koti kama sikosei alipiga siku ile anaenda kuwasilisha silaha zake kutii agizo la mkuu wa mkoa wa Dar. Ukizingatia ametumia usafiri wa barabara.....
 
  • Thanks
Reactions: SMU
JPM vs PK you'd think they're a reflection of a 'hutu' and 'tutsi, even the body size of their wives!

Is that the only thing you see? Don't impair your vision ability unnecessarily. You must have a source and this world doesn't care much about your originality, but does care a lot about what people do. Comment yako imekaa kiafrika zaidi kuliko kitu kingine
 
Nimeipenda hii ya Rwanda angalia wanavyopendeza na inaonekana kabisa ni utamaduni wa Kistaarabu hivyo kwa kuwa kitu kizuri hakuna ubaya kukiiga basi ningependekeza tuige hivi na ile mingoma ngoma yetu ya sijui Sindimba mara kucheza na Mijoka tuiachilie mbali, hii ya Rwanda imekaa poa zaidi inaendana na karne ya 21!

CfW1xc3XEAErq4a.jpg

Hii ya kwetu tuiache, siyo ya kistaarabu!
images
images
images
Kwa mwezi huu wa Aprili Rwanda wanafanya maadhimisho ya kumbukumbu ya mauaji ya kimbari ya mwaka 1994 kwa hiyo shamrashamra zenye kuhusisha ngoma, muziki, na kila aina ya burudani huwa hazifanyiki hata michezo haifanyiki, kwa hiyo sio kitu cha kuiga hicho, maombolezo hayaigizwi wala hakuna haja ya kuomba uwe na utamaduni wa kuomboleza
 
Back
Top Bottom