ha ha ha. Una utani mbaya? Pensi tena?Saaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
kamzalau sana mkuu wa nchi lazima umpokee mgeni kwa heshima zote.sasa Kagame kaona ghaa kama anakwenda sokoni.Saaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
Hilo koti sio bure tu...linamsaidia ku conceal ile pistol yake.Saaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
Japo una kiswahili kibaya ila nimecheka!Saaafi my Honorable President JPM, naona Paul Kagame anakubeep kubana matumizi (Hajapiga suti) sasa kumuonyesha kwamba wewe ndo muasisi wa kubana matumizi kesho piga pensi na simple kwenye maazimisho ya kimbali.
Hizi lugha hizi bwanaMy take Magufuli should be extra care with Kagame. No one knows what Kagame were doing in DRC
My take Magufuli should be extra care with Kagame. No one knows what Kagame were doing in DRC