PICHA: Ziara ya Rais Magufuli nchini Rwanda

PICHA: Ziara ya Rais Magufuli nchini Rwanda

ASANTE LOWASSA KWA kutuletea MAGUFULI SASA TUPO SALAMA..................Nchi ipo kwa Mtumishi wa Mungu. Watanzania Mungu awape nini tena???

Kabisa hongera lowassa
 
Dressing Code ya First Lady - Mama Janet P. Magufuli kwa kipindi hiki kifupi nimeona kama anapendelea kuvaa nguo za color patterns nyingi. Katika picha hii hapo juu amevaa nguo ambayo kidogo inafanana na ile aliyokuwa nayo kwenye mgahawa airport Mwanza, juzi wakati wa kumuaga Odinga nyumbani Chato, n.k. Ninafamu uchaguzi wa nguo ni taste ya mtu binafsi, lakini nadhani kwa sasa hivi she is a national figure na kwa hali hiyo kila atakacho kifanya kinakuwa kwenye public scrutiny. On the contrary mama Janet Kagame is in black, rangi ambayo inakubalika kama rasmi. Vile vile first ladies wengine kama akina Michele Obama mara nyingi utawaona katika nguo za rangi moja. Hilary Clinton,na wengine wenye nyazifa hizo naona utakuta mara nyingi katika shughuli za kiserikali wanavaa nguo za rangi moja. Mama Salma Kikwete alikuwa ni mpenzi wa kuvaa vitenge/java na kwa hiyo labda hicho kinakubalika kwa sababu sijawahi kuona kitenge au java ya single pattern color. Kwa maana hiyo basi, labda kuna haja personal assistants wa Mama Magufuli kumshauri mwenendo wa aina ya mavazi kulingana na wadhifa wake kwa sasa hivi. I mean, issue ya personal preference kwa sasa hivi aachane nayo.

Ndugu ulichokieleza kwa kirefu hapo juu hata sijakielewa, hasa ambavyo pia unawatofautisha Janeti JPM na Salma JK .... tofauti yao ni kilemba tu!
 
26278192685_2428d1a133_b.jpg

26278210505_edffe60b90_b.jpg

26212010231_6b64c073d8_b.jpg


play
26278187755_b164a9f112_b.jpg

26005308150_3af7a3c864_b.jpg
 
I pray that Dr Magufuli has been able to calculate well and carried on analysis on discounted NPV and Cost Benefit ratios.....
 
Safi sana.

Siyo yule aliyepita alikua anaenda kupiga mapicha na kina Beckham mara kina Steven Seagal
 
i have liked picture pic namba 2..jinsi mikono ya magufuli inavyofanana na ya kagame.....kwangu mimi aina hiyo ya mikono huashiria mtu jasiri ambaye huwa hatafuti shortcut ya matatizo yake bali huyakabili kishujaa...asante kwa pics

26278210505_edffe60b90_b.jpg
 
Hivi kagame hana mwanajeshi anayekA nyuma yake?

Nimekuaminia kwa namna ulivyo makini kuchunguza picha. Ni kweli inaelekea RWANDA wana utaratibu tofauti angalau katika ziara ya JPM. Sijaona au sijamuona ADC wa KAGAME kwenye picha hizi. Hebu wataalamu watufahamishe...
 
Nimeipenda hii ya Rwanda angalia wanavyopendeza na inaonekana kabisa ni utamaduni wa Kistaarabu hivyo kwa kuwa kitu kizuri hakuna ubaya kukiiga basi ningependekeza tuige hivi na ile mingoma ngoma yetu ya sijui Sindimba mara kucheza na Mijoka tuiachilie mbali, hii ya Rwanda imekaa poa zaidi inaendana na karne ya 21!

Kuna tamaduni ambazo haziendani na wakati na hatuna budi kuziacha na hii ni Dunia nzima, jamii zinakwenda zikibadilika, nina uhakika wewe leo hii kama ukioa mmasai halafu mtoto wako akaambiwa avae mashuka siku zote kama utamaduni wao unavyotaka hauwezi kukubali, sasa kwanini?

Kati ya mabandiko yako yote utumbo , haya yapo juu zaidi ,yaani top three.
 
Back
Top Bottom