PICHA: Ziara ya Kinana Mtwara yafana

Kama kawaida ya magamba kutoa bure kofia,tisheti na kanga.Hivi hii tabia mtaacha lini?

CHADEMA huwa wanauzaga nini?Wanachama wao basi wanazo, tatizo la CCM ni kwamba chama ni chawanyonge labda ndo maana wanatoa bure.
 
Wana haki ya kupata watu huko kwa kuwa malori aina ya SCANIA huwakusanya waelekee kunako.JARIBU fikiri machinga toka azaliwe ajawahi kupanda lori! Vp huko Kinana Anabiashara ambayo pia anaipitia?
 
Mbona kule Naona Kitambaa chenye rangi za blue,red na white kwenye hiyo picha ya 3,Ndio maana yake nini iyo?naomba kueleweshe jamani.
 
Kuamka ndio kushabikia CDM? Haya hao wa arusha na moshi wameamka kwenye nini?
Maisha ya wananchi wa Mtwara utayalinganisha na huko? Masikini ukimpa hata mlo mmoja wa pilau anakuona wa maana sana mpaka pale atakapo ambiwa yule aliyekupa pilau ndiye aliyekufanya uwe masikini ndipo hasira yake utapoiona. Wakielimika watawapiga mawe
 
Huyo jangili anasera gani kama sio kwenda kuongea majingili wenzie.huyo kinana mama yake nimuarabu babaake msomali baada yamuda atahama nchi kama mjombaake rostam.
 
Kufana kwake ni kuwepo kwa watu au kupokelewa na watu ambao wote wanaonekana wana afya njema na wameshiba hawana matatizo yale yampatayo mwananchi wa hali ya chini kau kufana unakufananishaje mkuu
Maana wanatumia fedha kwenye hizo ziara na wataishia tuu kutoa matamko ambayo mengine hata kazi hayatafanyiwa na mwananchi wa kipato cha chini atabaki na ufukara wake
Je ni nini wanampelekea mwananchi wa chini ambacho kwa miaka kibao ambayo sekretarieti iliyopita walishindwa kukipekeka mpaka waje wanyanyule now two years kabla ya uchaguzi mwingine
Je waliokuwepo akiwepo na Nape tuseme walishindwa kufanya kazi yao
Hiyo ndiyo tofauti ya Chadema na CCM...chadema inapokelewa na watu wangazi zote lakini wangi wao wachini kabisa lakini CCM utaona watu na vitambi vyao huku wamevaa mavazi ya ya chama, hii inaonyesha kuwa wengi wao ni mabalozi wa nyumba kumikumi, wenyeviti nk bila kusahau familia zao....
 

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege mjini Mtwara kuanza ziara ya siku moja kutembelea matawi na mashina ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo. Kulia Ni mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mtwara Mohamedi Sinani. (Picha na Bashir Nkoromo).


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwahutubia viongozi wa CCM ngazi mbalimbali mkoani mkoani Mtwara, alipokutana nao kwenye ukumbi wa Makonde mkoani Mtwara, akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo.Picha na Bashir Nkoromo).




Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na Mjumbe wa Shina namba mbili, katika kijiji cha Mkunwa Mtwara vijijini, leo akiwa katika ziara ya siku moja kutembelea mashina na matawi ya CCM na kufanya mikutano ya hadhara mkoani humo.Picha na Bashir Nkoromo).


 
Mkuu ungesema govt ya ccm imewapatia wakulima wa korosho soko la uhakika ningekuelewa!picha za kinana zinasaidia nini?
 
KINANA,NAPE,KHATIB WATUA MTWARA..kazi ya kusimamia ilani ya uchaguzi yapamba moto.
Ivory.jpg

tusks-722224[1].JPG

3001959_370.jpg
 
NImetoka ss hivi katika mkutano wa CCM nimegundua CCM bila nape hali itakua ngumu'swala la korosho na gesi ni gumu kwa serikali ya chama changu cha CCM,wananchi wa kusini tunauliza kwanini gesi ipelekwe KINYEREZI,GHASIA kajiuma umauma mpaka Nape kaja kumuokoa.kazomea mpaka amepaniki,wanakusini wanataka kujua kwanini huo mtambo uliojengwa KINYEREZI USIJENGWE MTWARA
 
kufanya ziara tu, jamaa wanaingia baridi BRAVO CCM utambulisho ni muhimu panga mikakati kamambe.nchi ichemke waelezeni wananchi ukweli msiweke porojo nyinyi ni watawala.

wananchi hawahitaji kuelezwa ukweli,wanaujua. Ao wote ni mamluki wameandaliwa. Nani asiejua ndivyo mnavyofanya? Siasa zenu za majitaka zinafikia kikomo.
 
Mleta mada sijamwelewa hakika hapana kuna picha wakiwa ndani hapa kumefana nini ?
 
Back
Top Bottom