[h=1]Mawaziri wazomewa mbele ya Kinana (Mwananchi, Ijumaa 23.11.2012)[/h]Ghasia na Murji kwanini mnaudanganya umma kwa kupeleka gesi Dar es Salaam, sisi hatuna ubaya na chama ila hatutaki gesi iende huko alisema Athumani huku akishangiliwa na mamia ya watu waliohudhuria mkutano huo.Kabla ya dada huyo kuteka hisia za wananchi kwa kuwasilisha kero hiyo, Kinana alimruhusu mwananchi mwingine, Issa Kambona ambaye pia alieleza kuwa hakubaliani na suala la gesi hiyo kupelekwa Dar es Salaam
Tunaomba huyu 'SECURITY GUARD' aje kutoa ufafanuzi hapa.
"YOU CAN CHEAT SOME PEOPLE FOR SOMETIME BUT YOU CAN'T CHEAT ALL THE PEOPLE AT ALL THE TIMES" :typing: