Kuna watu hapa wanajitahidi kuonyesha chuki zao halisi bahati mbaya watanzania hawadanganyiki na vyama vya ukanda na vyenye elements za ubaguzi
kinana,nape,khatib watua mtwara..kazi ya kusimamia ilani ya uchaguzi yapamba moto.
Nikweli mkuu hata tembo wetu wanateketea sijui Kama hili jangili litatuachia kituMagwanda yanawaka moto,zimamoto iko wapi?
CCM wameingia katika mtego wa vyama vya upinzani kwa kuanza ziara za nchi nzima. (tueme operation) mikusanyiko ya watu huko ni mfano wa maandamano na pia ni kampeni japo muda haujafika. nadhani vyama vya siasa vinaongozwa na katiba ambapo vikao katika kila ngazi vimeainishwa na ingefaa hivyo vizingatiwe kwanza. CCM wanasema wanatoa majibu kwa wapinzani na hilo litazua malumbano kuanzia sasa hadi 2015. je, wana Jf, ikiwa nao CCM wameamua kuungana na wapinzani wao wanaazia Mtwara; CDM kagera; cijui CUF ... CCM kwa mipasho! mh! kwaya, maigizo, ngonjera, ngoma, ngwasuma n.k hii ina matokeo gani kwa nchi?Kama kawaida ya magamba kutoa bure kofia,tisheti na kanga.Hivi hii tabia mtaacha lini?
CCM wameingia katika mtego wa vyama vya upinzani kwa kuanza ziara za nchi nzima. (tuseme operation) mikusanyiko ya watu huko ni mfano wa maandamano na pia ni kampeni japo muda haujafika. nadhani vyama vya siasa vinaongozwa na katiba ambapo vikao katika kila ngazi vimeainishwa na ingefaa hivyo vizingatiwe kwanza. CCM wanasema wanatoa majibu kwa wapinzani na hilo litazua malumbano kuanzia sasa hadi 2015. je, wana Jf, ikiwa nao CCM wameamua kuungana na wapinzani wao wanaazia Mtwara; CDM kagera; cijui CUF ... CCM kwa mipasho! mh! kwaya, maigizo, ngonjera, ngoma, ngwasuma n.k hii ina matokeo gani kwa nchi?Kama kawaida ya magamba kutoa bure kofia,tisheti na kanga.Hivi hii tabia mtaacha lini?
wamepiga kausingizi ka pono.siku wakizinduka watakuta nchi nzima wako CHADEMA kasoro wao tu.Mtwara safi sana Raia wote wanauniform , Vazi la taifa
kwenye mashina hadi taifa.
Pamefana sana
hizo ndio Ilani za Chama.