Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Mmatumbi ni mmatumbi tu. Masuala yetu ya ndani yanawahusu nini wazungu? Mugabe alikataa hii.
 
Mwajiliwa na mfanya biashara kwani mshahara wake unaujua?

= Mwajiriwa.

Wakati wa Nyerere ilikuwa marufuku mwajiriwa wa Serikali kuwa mfanya biashara, kumbuka hilo. Unaonesha u mdogo sana ikiwa huelewi hilo.
 
Bi mkubwa habari za siku nyingi shikamoo ?
= Mwajiriwa.

Wakati wa Nyerere ilikuwa marufuku mwajiriwa wa Serikali kuwa mfanya biashara, kumbuka hilo. Unaonesha u mdogo sana ikiwa huelewi hilo.
 
Kuing'oa CCM kunahitaji uungwaji Mkono wa Mataifa mbali mbali ...
 
Mkuu kwani chadema wamepeleka suala la escrow huko EU?we uliona huo mwaliko umesema wakafanye nini huko?huyo mmarekani alieuawa hakuwa mwandishi,na hakupigwa makusudi kama mwangosi
Ulimsikia Salum Mwalimu wakati akihojiwa kuhusu hiyo safari? By the way, unamaanisha nini unaposema Mmarekani ambae aliuawa hakuwa mwandishi? Unataka kusema mwandishi ana haki zaidi ya kuishi kuliko yule ambae sio mwandishi? By the way, hakupigwa kwa makusudi kivipi wakati the boy was unarmed?
 
Prof.Safari na Ujumbe wa CHADEMA wakiwa ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Rainer Wieland Jijijni Brussels leo katika kikao cha pamoja baina ya CHADEMA na EU kuhusu masuala mbalimbali. ..

Tafadhalini huko muliko. waelezeni ukweli hao jamaa wanaowalea hawa mchwa wa taifa. kwamba adabu itapatikana kwa kuwanyima misaada.

EU na US wanatibua mambo kwa kuendelea kuwapa misaada ambayo inapelekwa kuendeleza majumba yao na kuunda makampuni feki kila leo.
 
Mmatumbi ni mmatumbi tu. Masuala yetu ya ndani yanawahusu nini wazungu? Mugabe alikataa hii.
Katika hili hakuna taifa ambalo nalikubali duniani kama Iran... wale jamaa wanajitambua, acha tu!! Nakumbuka 2003 wakati George Bush anapeleka majeshi yake Iraq, alitaka kutumia anga za Iran! George Bush na wenzake walidhani iwavyo vyovyote, Iran ingekubali kutumia anga yake kuichapa Iraq kwa kigezo kwamba Iraq na Iran ni maadui! The message to Bush was simple and clear: "ugomvi wetu na Iraq katu hauwezi kuwa sababu ya kuruhusu anga yetu kutumiwa kuipiga Iraq!"

Hivi majuzi tena wakati US wanapanga mpango wa kuichakaza ISIS, wakataka washirikiane na Iran... hapa napo waliamini kwamba, as long as ISIS is big threat to Iran as well, basi Iran wangekubali kuunda ushosti wa muda! Na hii iliwapa nguvu zaidi baada ya US kuona bifu lake na Iran kuhusu nuclear ni kama linakuwa dissolved! Kwa mara nyingine tena, Iran wakatoa nje na kusema hao ISIS tuta-deal nao wenyewe na hayo ma-drone yenu bakini nayo wenyewe!!!
 
Huyu Mume ni huko huko Ulaya. Cc Africa
ni MIDUME.
Mugabe ndo BABU AFRICA
Anamkanya MWA AFRICA KTK AFRICA.
 
attachment.php
 
Mmatumbi ni mmatumbi tu. Masuala yetu ya ndani yanawahusu nini wazungu? Mugabe alikataa hii.
Huku alikuwepo Ndugai, katibu mkuu hazina ......nao wamefuata nini? Eti mmoja kaleta taarifa kuhusu ESCROW.....
 
Back
Top Bottom