Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?

kwa hiyo member wa hapa jf nao ni wabunge kwakuwa wanalisemea...
 
Kwa mara nyingine tena CHADEMA wanataka kuweka matarajio yao mikononi mwa wazungu!!! Hiki ni kichekesho, kama ambavyo watu tulipiga kelele kwamba tuache kwenda kujitia uzuzu mbele ya Wamarekani kwamba wanaweza kufanya lolote dhidi ya mambo yanayotokea hapa, watu wakatukejeli na kutuita magamba kwavile tu tumesema ukweli! Watu wakahangaika hadi kwenda kubandika magazeti yanayooenesha picha za mauaji ya Mwangosi kwenye mitaa ya Washington na kutamba kwamba mwisho wa JK umefika kwavile hili suala limeshatua hadi Seneta! Nilishangazwa sana hasa pale baadhi ya haya yalipokuwa yanasemwa na watu wanaoheshimika humu jamvini kama Mzee Mwanakijiji!!

Haikupita miaka mingi, kule kule ambako watu waliienda kuishitaki serikali ya JK kwa sababu polisi wake wanakiuka haki za binadamu na wanaua raia, nako yakatokea yale yale. Si kwamba hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa polisi wa Marekani kuua unarmed person bali mengine nika-assume labda watu wamesahau hadi tukadhani ikwamb US ni malaika wa kumpelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati na wenyewe ni wakiukaji wakubwa!!

Juzi tu hapa, tumeshuhudia maandamano makubwa jijini Ferguson na sababu ni zile zile polisi kuua raia asiye na furaha na bado mahakama kuona hakukua na sababu ya kumfungulia mashitaka polisi muuaji! Hawa watu eti ndio watokee wengine wa kwenda kuwapelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu!

Leo hii CHADEMA wamepata mwaliko EU... well and good! Hata hivyo, tukidhani kwamba hao jamaa wanaweza kuja kufanya lolote huku dhidi ya serikali ya JK basi mtakuwa mnadajidanganya... tena wasipofahamu nini waongee na nini wa-hold back watakuwa wanajidhalilisha wenyewe coz' there's no way, I repeat, there's no way eti tutarajie EU wanaweza ku-side na upinzani na kuwa against the government... hakuna kitu kama hicho! Kwanza, ikiwa ni suala la Escrow, kwa sasa wao EU watakuwa wanalifahamu vizuri sakata hili kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya CHADEMA... kwahiyo hawa wala hawaitaji mchango wa CHADEMA kufahamu inside out ya sakata la Escrow!!
 
Last edited by a moderator:
safi sana CHADEMA

Wasomi wakubwa kama prof safari ndio wanaongoza majadiliano

viva CHADEMA
 
Mi sijakuelewa kwan wewe ilitakaje sasa?
 
Last edited by a moderator:
Mi sijakuelewa kwan wewe ilitakaje sasa?
Nilimsikia Mwalimu wakati akihojiwa juzi... the way alivyokuwa anaongea ilikuwa ni kama mtoto aliyepigwa kwenzi na sasa kaka ake anamuuliza kwanini analia... alikuwa anaongea as if ndo wamepata pa kwenda kushitakia wakati hao EU hayo mambo wanayafahamu kuliko tunavyofahamu sisi wenyewe!

Huko wazungumzie masuala ya CHADEMA au labda na upinzani kwa ujumla lakini kudhani kwamba EU wanaweza kufanya chochote kwa ajili ya ufisadi unaotokea nchini ni kupoteza muda wa kuongelea masuala yatakayokuwa na tija kwa CHADEMA! Ufisadi wa Tanzania haujaanza jana na huu wa Escrow hautakuwa wa mwisho... kama EU wangekuwa ni wa kufanya chochote ingekuwa wameshafanya hivyo miaka kadhaa iliyopita! Hawa jamaa huwa wana-deal na mtu anayewavimbia kama Mugabe & Co lakini haya mambo mengine, tusipoweza ku-deal nayo wenyewe, no one else can do!
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.

Bali tuendelee na ccm majizi ya fedha na rasilimali za umma?
 
Pamoja na dhuruma bado tutawapiga katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?

Kwa akili yako ndogo unadhani escrow ni bungeni tu
 
Mbona nawaona chadema tu siwaoni UKAWA?

Hapo sasa!
 
Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?

Short brain as always . John Mrema anahusika na maswala ya Bunge na wabunge wa Upinzani Bungeni . Umekariri. Talking about HUman rights, Katiba mpya , Escrow do you need to be an MP ? Kweli akili zako hovyo bro .
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.

Wacha upotoshaji , misaada ccm wanayopokea kutoka ulaya kwa nini wasigomee kwa sababu huko wamehalalisha ushoga?
 
We hujiulizi tu, hoja ya Escrow iibuliwe na Kafulila baadae kasaidiwa na Zitto, kuitwa ulaya waende chadema! pana nini hapo! Vibaraka hao.
 
Back
Top Bottom