Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Mpaka Kieleweke

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2007
Posts
4,132
Reaction score
1,582
image.jpg
Prof.Safari na Ujumbe wa CHADEMA wakiwa ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Rainer Wieland Jijijni Brussels leo katika kikao cha pamoja baina ya CHADEMA na EU kuhusu masuala mbalimbali.


Picha chini walipowasili Jijini Brussels mapema leo ..
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    519.7 KB · Views: 7,289
Makubaliano mbalimbali yamefanyika na kuna hatua zinafuatiliwa hasa kuhusu Escrow
 
Madhumuni ya ziara ni yapi?
 
Makubaliano mbalimbali yamefanyika na kuna hatua zinafuatiliwa hasa kuhusu Escrow

Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.
 
Makubaliano mbalimbali yamefanyika na kuna hatua zinafuatiliwa hasa kuhusu Escrow

Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?
 
Back
Top Bottom