Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Ukitaka kujua kuwa chadema ni wajinga najaribu kujiuliza ujerumamni wamekwenda kushitaki au wamekwenda kutatua matatizo ya watanzania,
Lakini kulikuwa na tarifa kuwa chadema wanatumiwa na mashirika ya kijasuasi ya nje pengine hii nayo ni hoja.

Akili yako nisawa na tbc
 
We hujiulizi tu, hoja ya Escrow iibuliwe na Kafulila baadae kasaidiwa na Zitto, kuitwa ulaya waende chadema! pana nini hapo! Vibaraka hao.

Vibaraka ni wale hata upasuaji wa busha wanaenda Ulaya. Wameshindwa kuandaa madaktari wao sasa ni zaidi ya miaka 50 ya Uhuru. Vilevile mzee wa fast jet yeye toka apate ukuu wa nchi Ulaya kwake ni kila leo. Mkuu aliyesafiri sana kuliko wengine.
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.

unawazimu tafta tiba mapema kabla hujaokota makopo mitaani.
 
Back
Top Bottom