Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Matatizo na maendeleo ya Tanzania yatamalizwa/ yataletwa na watanzania wenyewe ndani ya Tanzania. Si vinginevyo. Kuamini yatamalizwa/kuletwa na watu Wa nje Ni ujuha. Go tz.

Mbn TDkila cku yupo nje kuomba na haulalamiki wala kutoa ushauri?
 
Soma kichwa cha habari wewe tezijike.

Aaah bana siyo fair hivyo, UKAWA imewaokoa kisiasa, ilibidi muwape na wao fursa.

Mnakuwa na roho mbaya hata kwa walio-waokoa kisiasa.
 
Chadema tuliwaamini kumbe na nyie washenzi tu yaani mmeenda ulaya kuwaelezea EU kuwa nyie n wapinzani mnataka msaada eti ufisadi jamani Tanzania sio ya wazungu ni ya watanzania kwann mnawaiga CCM kumbe vyama vyote lenu moja tu kutumaliza NYERERE alisema huwez ukatoa siri za chumban kwako ukawapa majirani huo n ujinga na tutatawaliwa milele
OK wamewaambia mje mfanye nn?maana c mnataka mpangiwe vya kufanya na wazungu huo n umalaya mlianza vizuri but mmearibu n afadhari wangekuja wenyewe yaani mnaadaiwa vitu vidogo
Nyie ndioo mnaoiuza Tanzania yetu badala ya kuiokoa mnawapa wazungu
Ni bora kuomba kuliko kuibia wananchi wanyonge kodi yao escrow wa china wanabebeshwa tembo mzima mzima na meno yake.ccm wanaiba hadi dawa hospitalini

swissme;
 
  • Thanks
Reactions: aye
Aaah bana siyo fair hivyo, UKAWA imewaokoa kisiasa, ilibidi muwape na wao fursa.

Mnakuwa na roho mbaya hata kwa walio-waokoa kisiasa.

Aliyemwokoa mwenzie ni yule aliyepewa mil 800 au yule aliyemtuma akampokelee?
Kwa hali inavyokwenda sijui sasa atafanyiwa operesheni ipi? Maana ya mbele keshamaliza!
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.

maumivu ya kichwa huanza polepole ....... !
 
Aliyemwokoa mwenzie ni yule aliyepewa mil 800 au yule aliyemtuma akampokelee?

Duh! mlipewa mil 800? haya nieleze siyajuwi hayo. Au ndiyo thamani mliyonunulia kuungwa mkono na CUF na NCCR?
 
Duh! mlipewa mil 800? haya nieleze siyajuwi hayo. Au ndiyo thamani mliyonunulia kuungwa mkono na CUF na NCCR?

Walume walivyolisimamia hili jambo la Escrow, lazima mzizi utajulikana tu.
Mwaka huu ndio tutasikia mtu akienda kufanyiwa operesheni ya kiungo cha ajabu sana mwilini.
Presha ya mnduku hatujawahi isikiaga!
 
Escrow , katiba, humanrights , Ufisadi ,,,,,,tanzania a failed state.....
yaani hao EU ndio watafanya nini kama Tanzania ni failed state!? (sic! failed state if at all you know what the word means) hivi nyinyi cdm kila siku mnadai ni wazalendo, uzalendo wenu nini? Tanzania will prevail with or without those husbands of yours. the best they can do is not releasing their stupid money and help the many poor peple to die in hodpitals and like monkeys you are happy to go there and talk rubbish on katiba, human rights, escrow and blah blah!!! you can leak their bottoms as much as you can but you are just monkeys to them trying to look smart but you are just monkeys!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Bado tuna safari ndefu sana kama bado tunawategemea wazungu watutatulie matatizo yetu!!
 
Duh! mlipewa mil 800? haya nieleze siyajuwi hayo. Au ndiyo thamani mliyonunulia kuungwa mkono na CUF na NCCR?

According to Tundu Lissu, Bwana Shaaban Gurumo wa Ikulu amechota 800Mil za ESCROW, unajua zimekwenda wapi??
 
yaani hao EU ndio watafanya nini kama Tanzania ni failed state!? (sic! failed state if at all you know what the word means) hivi nyinyi cdm kila siku mnadai ni wazalendo, uzalendo wenu nini? Tanzania will prevail with or without those husbands of yours. the best they can do is not releasing their stupid money and help the many poor peple to die in hodpitals and like monkeys you are happy to go there and talk rubbish on katiba, human rights, escrow and blah blah!!! you can leak their bottoms as much as you can but you are just monkeys to them trying to look smart but you are just monkeys!!!!!!!!!!!!!!!!!

zaidi ya asilimia 80 ya budget ya Tanzania ni mikopo na misaada kila mwaka huu ndio uzalendo ??? nyau wewe eti Tanzania will prevail without those people nani kwakwambia juzi wamegoma kutoa misaada mpaka kuwalipa wabunge tu imekuwa tabu wabunge wanaidai serekali pesa kibao achana na msd na sehemu nyingine unaowaona hapo ndio mabwana zako wewe dada
 
Ukitaka kujua kuwa chadema ni wajinga najaribu kujiuliza ujerumamni wamekwenda kushitaki au wamekwenda kutatua matatizo ya watanzania,
Lakini kulikuwa na tarifa kuwa chadema wanatumiwa na mashirika ya kijasuasi ya nje pengine hii nayo ni hoja.

nina wasiwasi hata elimu ya msingi hukuipata.
 
Tutatawaliwa milele Tanzania yanguu naionea hurumaa tuliowaamini kumbe naoo n weziiiiii wakubwaaa
 
Yaaanii mnapeleka natatizo ulaya?shame upon u Tanzania tumekwishaaa we remember u nyerere
 
nina wasiwasi hata elimu ya msingi hukuipata.

Ndio aina ya watu waliojazana huko magambani. Hebu angalia eti Mariam Kisanji, Asumpta Mshama, Hawa Ghasia, Komba, Kibajaji eti ni wabunge!
 
Back
Top Bottom