Kwa mara nyingine tena CHADEMA wanataka kuweka matarajio yao mikononi mwa wazungu!!! Hiki ni kichekesho, kama ambavyo watu tulipiga kelele kwamba tuache kwenda kujitia uzuzu mbele ya Wamarekani kwamba wanaweza kufanya lolote dhidi ya mambo yanayotokea hapa, watu wakatukejeli na kutuita magamba kwavile tu tumesema ukweli! Watu wakahangaika hadi kwenda kubandika magazeti yanayooenesha picha za mauaji ya Mwangosi kwenye mitaa ya Washington na kutamba kwamba mwisho wa JK umefika kwavile hili suala limeshatua hadi Seneta! Nilishangazwa sana hasa pale baadhi ya haya yalipokuwa yanasemwa na watu wanaoheshimika humu jamvini kama Mzee Mwanakijiji!!
Haikupita miaka mingi, kule kule ambako watu waliienda kuishitaki serikali ya JK kwa sababu polisi wake wanakiuka haki za binadamu na wanaua raia, nako yakatokea yale yale. Si kwamba hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa polisi wa Marekani kuua unarmed person bali mengine nika-assume labda watu wamesahau hadi tukadhani ikwamb US ni malaika wa kumpelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati na wenyewe ni wakiukaji wakubwa!!
Juzi tu hapa, tumeshuhudia maandamano makubwa jijini Ferguson na sababu ni zile zile polisi kuua raia asiye na furaha na bado mahakama kuona hakukua na sababu ya kumfungulia mashitaka polisi muuaji! Hawa watu eti ndio watokee wengine wa kwenda kuwapelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu!
Leo hii CHADEMA wamepata mwaliko EU... well and good! Hata hivyo, tukidhani kwamba hao jamaa wanaweza kuja kufanya lolote huku dhidi ya serikali ya JK basi mtakuwa mnadajidanganya... tena wasipofahamu nini waongee na nini wa-hold back watakuwa wanajidhalilisha wenyewe coz' there's no way, I repeat, there's no way eti tutarajie EU wanaweza ku-side na upinzani na kuwa against the government... hakuna kitu kama hicho! Kwanza, ikiwa ni suala la Escrow, kwa sasa wao EU watakuwa wanalifahamu vizuri sakata hili kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya CHADEMA... kwahiyo hawa wala hawaitaji mchango wa CHADEMA kufahamu inside out ya sakata la Escrow!!
Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?

Kuiondoa CCM madarakani!Madhumuni ya ziara ni yapi?
CHADEMA au UKAWA?
Hii ziara haikuwa muafaka wakati huu.mkuu kuna mitaa na vijii zaidi ya 100 ccm wamepita bila kupingwaView attachment 207789
Prof.Safari na Ujumbe wa Chadema wakiwa ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Rainer Wieland Jijijni Brussels leo katika kikao cha pamoja baina ya Chadema na EU kuhusu masuala mbalimbali.
Picha chini walipowasili Jijini Brussels mapema leo ..
Hakuna anayepinga suala la CHADEMA kualikwa huko EU na kama yupo, huyo mtu sio mimi! Ninachosema ni kwamba wasitarajie kwamba EU wanaweza kuwa na msaada kwa uovu unaoendelea TZ, so wanatakiwa kujikita kwenye affairs za CHADEMA and probably, oppositions as a whole! Hoja hapa ni kwamba watu wasije wakapiga vifijo kwamba amepatikana wa kumshitakia kama ilivyotokea kwa Mwangosi, ambapo pia watu tulisema wazi wazi kwamba kudhani kwamba eti Senate ya US ingefanya chochote ilikuwa ni kupoteza muda!Chedema waMEALIKWA TU huko ujerumani sasa ktk yoote watakayoongea ni nani asiyejua Escrow ya Harbinder kwa hapa TZ na dunia kwa ujumla.?
Labda angealikwa Muhongo akaelezee uwongo wa Escrow.
Wewe unayeihubiri Escrow upo bungeni?
Kwa mara nyingine tena CHADEMA wanataka kuweka matarajio yao mikononi mwa wazungu!!! Hiki ni kichekesho, kama ambavyo watu tulipiga kelele kwamba tuache kwenda kujitia uzuzu mbele ya Wamarekani kwamba wanaweza kufanya lolote dhidi ya mambo yanayotokea hapa, watu wakatukejeli na kutuita magamba kwavile tu tumesema ukweli! Watu wakahangaika hadi kwenda kubandika magazeti yanayooenesha picha za mauaji ya Mwangosi kwenye mitaa ya Washington na kutamba kwamba mwisho wa JK umefika kwavile hili suala limeshatua hadi Seneta! Nilishangazwa sana hasa pale baadhi ya haya yalipokuwa yanasemwa na watu wanaoheshimika humu jamvini kama Mzee Mwanakijiji!!
Haikupita miaka mingi, kule kule ambako watu waliienda kuishitaki serikali ya JK kwa sababu polisi wake wanakiuka haki za binadamu na wanaua raia, nako yakatokea yale yale. Si kwamba hiyo ilikuwa ni mara ya kwanza kwa polisi wa Marekani kuua unarmed person bali mengine nika-assume labda watu wamesahau hadi tukadhani ikwamb US ni malaika wa kumpelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu wakati na wenyewe ni wakiukaji wakubwa!!
Juzi tu hapa, tumeshuhudia maandamano makubwa jijini Ferguson na sababu ni zile zile polisi kuua raia asiye na furaha na bado mahakama kuona hakukua na sababu ya kumfungulia mashitaka polisi muuaji! Hawa watu eti ndio watokee wengine wa kwenda kuwapelekea kesi dhidi ya ukiukwaji wa haki za binadamu!
Leo hii CHADEMA wamepata mwaliko EU... well and good! Hata hivyo, tukidhani kwamba hao jamaa wanaweza kuja kufanya lolote huku dhidi ya serikali ya JK basi mtakuwa mnadajidanganya... tena wasipofahamu nini waongee na nini wa-hold back watakuwa wanajidhalilisha wenyewe coz' there's no way, I repeat, there's no way eti tutarajie EU wanaweza ku-side na upinzani na kuwa against the government... hakuna kitu kama hicho! Kwanza, ikiwa ni suala la Escrow, kwa sasa wao EU watakuwa wanalifahamu vizuri sakata hili kuliko mtu mwingine yeyote ndani ya CHADEMA... kwahiyo hawa wala hawaitaji mchango wa CHADEMA kufahamu inside out ya sakata la Escrow!!
Mbona nawaona chadema tu siwaoni UKAWA?
Hapo sasa!
Anzeni na mwenyekiti wenu Mbowe mwenye majengi Dubai.