Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

new way of colonization by using hungry and puppet leaders
 
.."... Tuko Pa1 Wakuu Ila Naona Mumeenda Kimyakimya.!
 
Nilimsikia Mwalimu wakati akihojiwa juzi... the way alivyokuwa anaongea ilikuwa ni kama mtoto aliyepigwa kwenzi na sasa kaka ake anamuuliza kwanini analia... alikuwa anaongea as if ndo wamepata pa kwenda kushitakia wakati hao EU hayo mambo wanayafahamu kuliko tunavyofahamu sisi wenyewe!

Huko wazungumzie masuala ya CHADEMA au labda na upinzani kwa ujumla lakini kudhani kwamba EU wanaweza kufanya chochote kwa ajili ya ufisadi unaotokea nchini ni kupoteza muda wa kuongelea masuala yatakayokuwa na tija kwa CHADEMA! Ufisadi wa Tanzania haujaanza jana na huu wa Escrow hautakuwa wa mwisho... kama EU wangekuwa ni wa kufanya chochote ingekuwa wameshafanya hivyo miaka kadhaa iliyopita! Hawa jamaa huwa wana-deal na mtu anayewavimbia kama Mugabe & Co lakini haya mambo mengine, tusipoweza ku-deal nayo wenyewe, no one else can do!

Kwahiyo?
 
Madhumuni sijayajua
Sana sana wananikumbusha Mbuyu wa Saadani BwagaMoyo walikonyongwa kina BABU
 
Wizi
Wao wanaiba sisi wanatupa airtime ya kutosha,mpaka kieleweke
 
View attachment 207789
Prof.Safari na Ujumbe wa CHADEMA wakiwa ndani ya Ofisi ya Makamu wa Rais wa Bunge la Ulaya Rainer Wieland Jijijni Brussels leo katika kikao cha pamoja baina ya CHADEMA na EU kuhusu masuala mbalimbali.


Picha chini walipowasili Jijini Brussels mapema leo ..

Mbona simuoni Hapo Kafulila kama ishu ni escrow? Na huyo Nasari lini aliivumbua escrow? Au ndio mnawapa exposure ili wasihoji uenyekiti wa kudumu na mapato na matumizi ya chadema!
 
When the weapons start to penetrate to your flesh,
you'll never see them all.
'maza faka'
 
Chadema tuliwaamini kumbe na nyie washenzi tu yaani mmeenda ulaya kuwaelezea EU kuwa nyie n wapinzani mnataka msaada eti ufisadi jamani Tanzania sio ya wazungu ni ya watanzania kwann mnawaiga CCM kumbe vyama vyote lenu moja tu kutumaliza NYERERE alisema huwez ukatoa siri za chumban kwako ukawapa majirani huo n ujinga na tutatawaliwa milele
OK wamewaambia mje mfanye nn?maana c mnataka mpangiwe vya kufanya na wazungu huo n umalaya mlianza vizuri but mmearibu n afadhari wangekuja wenyewe yaani mnaadaiwa vitu vidogo
Nyie ndioo mnaoiuza Tanzania yetu badala ya kuiokoa mnawapa wazungu

Huwezi kuwa na akili timamu achilia mbali Mwana CDM, au mtu anaekubali itikadi za CDM then uandike hicho ulichoandika hapo juu!!!
 
Huwezi kuwa na akili timamu achilia mbali Mwana CDM, au mtu anaekubali itikadi za CDM then uandike hicho ulichoandika hapo juu!!!
Siungi mkono ufisadi wa aina yoyote...
lakini kama kweli CHADEMA wameenda kupeleka umbea wa escrow ULAYA then they are political prostitutes..
CHADEMA wanaiteka ishu ya ESCROW na kuifanya yao
 
Huwezi kuwa na akili timamu achilia mbali Mwana CDM, au mtu anaekubali itikadi za CDM then uandike hicho ulichoandika hapo juu!!!

.... Eti Nyerere Alisema.! Kwani Nyerere Ni Mungu? Mbona Munamwabudu Sana
 
Shikamooooo CDM, 2015 hakikisheni mnahamasisha vijana wakajiandikishe jua ni 34.6% ya populaion ya Tanzania mainland ya over 43milion. Na hiyo ni data ya 2012 ina maana 18+ wameshaongezeka since then. Kazi kwenu. Jamani msisahau kwenda kujiandikisha kwa wale mliopoteze kadi na wale ambao hamna kadi wahini.
 
Muwaeleze jinsi mafisadi wanavyotafuna misaada yao ambayo ni kodi ya wananchi wao huku wakiomba kwa kutumia mgongo wa walala hoi wa Tz
 
Back
Top Bottom