Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Picha: Ziara ya CHADEMA bunge la Ulaya

Siungi mkono ufisadi wa aina yoyote...
lakini kama kweli CHADEMA wameenda kupeleka umbea wa escrow ULAYA then they are political prostitutes..
CHADEMA wanaiteka ishu ya ESCROW na kuifanya yao

Mkuu kwanza umesema huungi mkono ufisadi, hapo tuko sawa.

Pili unadai, "lakini kama kweli CDM wameenda,,,then they are........" Hivi kwa nn huna uhakika wakati huo huo unatoa hukum??

Huko unakodai CDM kuiteka ishu ya ESCROW na kuifanya yao ndo kukoje Mkuu,,
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.
Nami nikuulize,Is there any free lunch in USA?
Maana '' kwa msaada wa watu wa marekani'' ni msemo uliozoeleka kusemwa na serikali iliyo madarakani hata kwa net za mbu
au unamaanisha nchi ilishauzwa kwa wamerekani?
 
itakuwa jambo la maana wakiishawishi eu kuwabana stanbic/standard charted bank waache kutupiga hela ndege ya rais haohao, richmond haohao, escow iptl haohao. sasa tuwaambie wazungu kuwa stanbic ni taasisi haramu sawa na mafia pablo escoba black september
 
Hayo makubaliano mbalimbali sasa hayo! mzungu ana msemo usemao "There's no free lunch in London" Hayo makubaliano lazima yatakuwa na claw back clauses, ambazo zitaliingiza taifa katika masharti magumu kama mtapewa ridhaa(jambo ambalo ni ndoto maana wananchi wameshawastukia) na kufanya tulazimike kufuata sera za kimagharibi ikiwemo ushoga na mengineyo ambayo hatuyajui. Mungu tuepushie janga liitwalo Chadema.

kwanini wawaalike ulaya baada ya kutaka stanbic itangazwe kuwa taasisi haramu? safi sana hakuna hata mbunge mmoja aliyekwenda kuwasikiliza hawa wakoloni.
 
Kwa mwendo huu tutatawaliwa hadii kufa kwetu
Tulidhani hiki chama akitaolewa na wazangu washenzi kumbe nao n njaa tu Tanzania pole yako yaani mmewafata ulaya kuwaelezea matatizo yenu chadema tuliwaamini kumbe na nyie wezi washenzi

Acha wivu cdm hawajaenda kuomba Pesa kule....unashindwa kushangaa watu wenu wa kijani mnaowachagua kila chaguzi wanaoamini ktk wazungu kuwaletea Maendeleo unawasema cdm Lini uliwapa KURA wakaonyesha mfano wa Serikali yao...
 
Hakika wazungu hawana free lunch. Na Ni ukweli Kwamba cdm hawana kipya cha kuwaambia hao Jamaa ambacho hawakijui
 
Mbona kati ya hao walioenda kwenye msafara hakuna hata mmoja anaeingia bungeni.Hayo kuhusu Escrow watayasemea chumbani?

Kwani Kafulila hadi anaitoa ile hoja ya ESCROW pale Bungeni aliipatia humo Bungeni? jitahidi kupanua ubongo wako ndugu.

attachment.php
 
Leo Prof.safari na timu yake wamekutana na mkuu wa Kamisheni ya Ulaya , .......
 
mbona hamsemi wachaga hao au wakristo hao mwaka 2015 ni BRASIL VS GERMANY
 
Back
Top Bottom