Mungu jalia umati huu wa chadema ndo ziwe idadi ya kura za chama hapo kesho, mabadiliko ya 2015 yaanzie Arumeru Mashariki. Hizo picha za CCM zinahusisha pamoja na watu waliosombwa kwa malori toka Monduli, simanjiro etc?
Chadema leo majira ya saa 10-12 jioni ilifanya mkutano wao wamwisho wa kampeni,ambao kwao ni mkutano wao wa 109 katika jimbo la arumeru east ndani ya 21 za kampeni.mkutano huo ulifanyika katika kiwanja cha patandi ambapo jana magamba walifanya mkutano wao hapo...katika mkutano huo agenda kuu ilkua ni mikakati ya kulinda kura,huku CDM wakisema kesho wanaongeza chopa ya pili kwaajili ya kulinda kura..kamanda mbowe alisema kesho kutakua na mkesha wakulinda kura pale usa river...hakuna kulala mpaka kieleweke...!!!
Jamani naiombea CDM ishinde Arumeru. Mungu wangu wafungue akili na fikra wananchi wa Arumeru waione CCM jinsi inavyozidi kuwafanya wananchi kuendelea kuwa maskini.
Mungu ibariki cdm, nawatu wake,wote watakao thubutu kuiba kura wa pigo kali wasiloweza kusahau,eee Mungu sikia maombi yangu,kwani wewe ni Mungu muaminifu sana. kwa jina la yesu aminaaaaa!
Mungu ibariki cdm, nawatu wake,wote watakao thubutu kuiba kura wapige pigo kali wasiloweza kusahau,eee Mungu sikia maombi yangu,kwani wewe ni Mungu muaminifu sana. kwa jina la yesu aminaaaaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.