Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 43,037
- 34,741
- Thread starter
- #421
Mgombea ubunge Jimbo la Arumeru Mashariki kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Joshua Nassari (kushoto), akiwa amekibeba kichanga chenye umri wa siku moja, alipotembelea wodi ya wazazi hospitali ya Mkoranga wilayani Arumeru mkoani Arusha jana ikiwa ni mwendelezo wa kampeni zake za kuwania kiti hicho.