PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema

PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema

Enheeee huyo huyo mwenye mkono kiunoni...yaallaaaah mashallaaaah....

Ninamfahamu huyu bint , nakumbuka kuwahi kukutana au kufanya naye somewhere wakati naishi mjini kabla sijaamua kurudi shamba, Let me ask Mr. Some one, I remeber this girl pia namuona mtu kama (TF?).

Ila sitarudisha jibu hapa, na NN please dont make a followup...lol
 
Hongera mkuu picha nzuri sana umetupa picha kamili haswa sisi ambao hatukuweza kuja Karimjee.
 
Mwalimu kwani afya zao mbaya? Unaweza kuwa mwembamba lakini mwenye afya tuu!


Mani, Mwanamme misuli bana.......anywe supu, kisha aongozane na Ngabu huko gym
 
nimeipenda sana hii...!

hawa ndo watanzania sasa....

No mkuu,Hao ndio WATANGANYIKA BWANA....Inaniuma sana kwani JF.CDM & Taifa limepoteza Jembe...nimeupenda ushirikiano tulio uonyesha wana JF ktk hilo... R.I.P our lovely MP Regia Mtema..
 
Hao askari wa bunge wamekaa shagala bagala bana!! Si wakakamavu, inaonekana wanajiachia tu!! Nyama yetu ile na bia kwa sana, si maposho yalo tu!! nayways asnate sakwa picha mkuu!! Siye tulio mbali tunafarijika wangalau kushiriki kiaina!!
 
Ninamfahamu huyu bint , nakumbuka kuwahi kukutana au kufanya naye somewhere wakati naishi mjini kabla sijaamua kurudi shamba, Let me ask Mr. Some one, I remeber this girl pia namuona mtu kama (TF?).

Ila sitarudisha jibu hapa, na NN please dont make a followup...lol

Ngoja nikuPM
 
DSC_0481.jpg


Nimeipenda sana hii, lol

Who is this Guy aliyeshikana mikono na VP??
 
Back
Top Bottom