Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,514
- 146,039
![]()
Nimeipenda sana hii, lol
Invi hebu niwekee vizuri hiyo ya mchuchu
![]()
Nimeipenda sana hii, lol
![]()
Nimeipenda sana hii, lol
The ball is on her side, mimi nimesha kwenda the extra mileAisee Chamoto unataka kukiona chamoto eeh? Oohoooo
Nani huyo? Huyu hapa?
![]()
Enheeee huyo huyo mwenye mkono kiunoni...yaallaaaah mashallaaaah....
Kathibitisha kuja kwenye Mkutano BC. lols.
Sasa wewe wa nini unataka kumfahamu hivyo?
Now lazima nitashiriki!
Ngoja nikimbie kule kwenye ile thread nikafanya ukaguzi wa majina...anaweza akawa ndo LD huyo
See ya later gator.
gym huko huko kwenu hapa bongo gym haina dili pesa mbele kama taiHuyo mchuchu ndo nani humu JF?
Mwenye kujua hit me up on my PM
Halafu naona JFers wengi wanahitaji kuingia gym
hahaahaaaa!!!............utaliwa asee..........Gym unaenda?Now lazima nitashiriki!
Ngoja nikimbie kule kwenye ile thread nikafanya ukaguzi wa majina...anaweza akawa ndo LD huyo
See ya later gator.
Now lazima nitashiriki!
Ngoja nikimbie kule kwenye ile thread nikafanya ukaguzi wa majina...anaweza akawa ndo LD huyo
See ya later gator.
mpenda kenge.............mambo?????watu bana...unakuta mtu nchi anayoishi obesity kwa sana ..kaona ki portable basi kadata
Mkuu n00b, heshima sana mkuu. watu wa aina yako wapo wachache sana mkuu. Tuna jitahidi kupiga [picha na vi-simu na vi-kamera vyetu, tunajitahidi kuweka picha hapa, lakini kuna watu ambao hawa-appreceate hata kidogo.
Mtu wetu ElToro amejitahidi kuweka picha hapa, lakini kuna watu humu wamekuja kuponda kwamba hazina quality......mpuuzi mmpja hivi.....mwingine kaja na advert ya blog eti watu wakaangalie picha huko........Mods kama mnataka kunipaga ban, you are welcome.....lakini huo ni upumbavu na U-kenge!!!!!
Again, thanks n00b, thanks Eltoro, thanks The Finest na wengine wote.
haha poa...kuna jamaa anaishi huku kwenye nchi za MCCDONALD sasa kadata baada ya kuona picha ya kiportable cha tz..si unaua mziki wa mccdonald everday mademu wote wamefutuka(michelin)mpenda kenge.............mambo?????
hahahahahahaaaa!!!...........aseeeee!!!
NN, una komenti gani juu ya picha tatu za juu? Hamad Rashid, Januari Makamba na James Mbatia wakiongea na waandishi kwa nyakati tofauti.