PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema

PICHA: Yaliyojiri Karimjee katika kumuaga Regia Mtema

n00b!

Nimeipenda sana tishe yenye maandishi ya Jf!

Hongera sana kwa kazi nzuri ya kutufikishia picha lengwa!

Thankx!
 
Mkuu n00b, heshima sana mkuu. watu wa aina yako wapo wachache sana mkuu. Tuna jitahidi kupiga [picha na vi-simu na vi-kamera vyetu, tunajitahidi kuweka picha hapa, lakini kuna watu ambao hawa-appreceate hata kidogo.

Mtu wetu ElToro amejitahidi kuweka picha hapa, lakini kuna watu humu wamekuja kuponda kwamba hazina quality......mpuuzi mmpja hivi.....mwingine kaja na advert ya blog eti watu wakaangalie picha huko........Mods kama mnataka kunipiga ban, you are welcome.....lakini tabia ya kuingia JF na kubeza jitihada za watu binafsi (hawalipwi - hata Max and Co, hamuwalipi) ni upumbavu na U-kenge!!!!!


Again, thanks n00b, thanks Eltoro, thanks The Finest na wengine wote.



Basi-basi Birigita! Pole na maudhi ! Tulio ambao hatujafikwa na mufliss wa akili kazi mlioifanya tunaithamini, na twawashkuruni sana.
 
Asante mkuu, mie wa huku madongo kuinama nimejiona kama nami nilikuwepo.
 
Inauma sana, tumebaki yatima....machozi yetu hayataisha....kwanini umekubali kuondoka namna hii bila kutuaga, bila kutuambia nani ataendeleza kazi yako ya ukombozi, kweli inauma sana.... tulitamani uendelee kutusimamia. Mungu akupunzishe dada, uiombee nchi yetu utuombee ulituacha yatima,... utuombee ili Mungu atufute machozi. umsalimie baba wa Taifa letu Mwl. Nyerere. Umsalimie Amina Chifupa. Tutaendelea kulia... tutaendelea kukulilia... daima utabaki mioyoni mwetu da Regia.... kwa heri dada utuombee Da Regia... kwa heri ya kuonana...
 
I REALLY APPRECIATE YOUR EFFORTS YOU MADE ME WELL INFORMED....God Bless you

R. I. P Hon. Regia,,,,
 
dogo ndiyo mwanasiasa kijana anayepikwa ndani ya chama chetu? tujuzane!!!

DSC_0477.jpg


DSC_0481.jpg
 
Nimeskia katika uchambuzi wa magazeti eti Bi Kiroboto kasema marehemu Regia alimuaga kwa ujumbe wa i love you,

kaanza kujipendekeza huyu mama simpendi kabisa
 
Mungu mlaze mahali pema marehemu Regia na wape faraja wazazi na ndugu wa marehemu
Amen.

Chama
Gongo la Mboto DSM
 
dogo ndiyo mwanasiasa kijana anayepikwa ndani ya chama chetu? tujuzane!!!
Jerry Slaa, ni meya wa ilala, amekuwa diwani kwa miaka saba sasa, ni hazina kubwa ya viongozi wanaofundwa na chama. Si aina ya wanasiasa vijana tulionao leo yeye ni kiongozi kwa kuzaliwa na kulelewa.
 
Back
Top Bottom