njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,084
- 8,663
Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams
Sasa unaambiwa wachezaji kadhaa wnaocheza ligi kuu na ligi daraja la kwanza huko kwa madiba walijitokeza katika hotel aliyofikia gwiji la usajili barani afrika Hersi said ili kujaribu kupata bahati ya kuchezea klabu hiyo kubwa inayoendeshwa kwa ufanisi mkubwa bila janjajanja
Ikumbukwe Injinia Hersi yupo huko akitafuta wachezaji was bei ghali kuanzia dollar laki tano kwenda juu ili kuitumia bajeti ya bilioni 12 za usajili zilizotengwa na GSM
Cha kushangaza wote walikuwa wameweka bleach kichwani ile style ya Fiston,kisinda na shaban djuma walipoulizwa walisema mawakala wamewaambia wafanye hivyo kwani itaongeza mvuto kwa wana jangwani haswa ile kamati nguli ya mapokezi
Mtoa habari anadai kuna wadogo zake wawili yule mserbia wa kaizer chiefs aitwaye Nurkovic wako kwenye hii picha nao wanataka kuja jangwani