picha ya siku

picha ya siku

englibertm

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2009
Posts
9,252
Reaction score
6,211
<button class="modal-btn modal-close js-close" type="button">Close </button>
BnCVnp9CUAE-xdc.jpg:large

Previous
 
Ujana mtamu jamani,sura lainii,wanapendezaa,hata mie nilipokuwa kijana nilikuwa napendeza bana,ila enzi zetu kulikuwa hakuna portble cameras kama ilivyo dunia ya leo kwahiyo picha zangu za ujana ni black and white na chache sana.USHAURI,vijana pigeni picha nyingi kadri muwezavyo, zama hizi huhitaji kwenda studio, simu zetu nyingi za viganjani zina Cameras nzuri sana unaweza kujikusanyia picha kadri uwezavyo,usije ukajutia ujana haurudi.
 
Ila Nyerere akifufuka ghafla leo kuna watu watatafutana!
 
Ila Nyerere akifufuka ghafla leo kuna watu watatafutana!

Viongozi wa magamba wote watakimbia akiwemo kibabu Ngombale; pengine atakayesalimika ni yule waliemyanyasa kwa kutokuwa mnafiki na muadilifu na baadae kumrudisha kuwa makamu mwenyekiti, Mangula!!
 
Duh! Bibi yetu kumbe enzi zake alikuwa KIFAA hasa, tena cha asili, no mkorogo, no nini!Babu alicheza hapo!
 
Back
Top Bottom