Sikonge
Platinum Member
- Jan 19, 2008
- 11,635
- 6,238
Yes ni Mmakonde wa Kusini. Mjukuu wake anaitwa Neneh CHErry na wanatokea hasa nchi inaitwa CHIle.
Ndugu yake mmoja alihamia Mexico na matokeo yake, huko nako kuna Wamakonde.....
Ndugu yake mmoja alihamia Mexico na matokeo yake, huko nako kuna Wamakonde.....
Hivi huyu Che Guevara ni Mmakonde au mtu wa kusini mwa Tanzania? Nauliza kwa sababu wamakonde/watu wa kusini mwa Tanzania wanatanguliza Che kwa mtu wa heshima au aliyepitia jando.