Picha: Wataalamu Hawa Nimewa-miss

Picha: Wataalamu Hawa Nimewa-miss

Aisee!, hongera!, navutiwa kwamba watu wanaokuamini Na pengine kukutegemea at least kwa ushauri Tu wasome the way you contribute kwenye thread ya maana Kama hii, I think it will help them to justify the impotence of your brain. I'm out!.

mirembe unategemea kurudi tena lini?
 
Rossoneriubarikiwe sana. Tujuze vitu vingine mkuu..... Kuhusu interest zao. Nasikia huyu jamaa alikuwa anapenda sana bangi. Kuna ukweli?


Alafu Castro alikuwa hanyoi ndevu kutokana na kwamba viwembe vilitengenezwa america na yeye alikuwa na ugomvi nao. Hivyo akaamua tu kuacha kunyoa....ndevu. Je kuna ukweli?
 
Last edited by a moderator:
Kwani CIA hawapo huko Bolivia?

Hapana... Wako marekani. Ila ma agents wao wapo nchi nyingi sana duniani. Na haijalishi ni mmarekani au laa... Wanaweza pia kuwa wazawa. Hiyo ndio fact kuhusu hilo shirika la kijasusi.
 
ANTIBIOTIQUE na @konda wa boda boda pia nyumbatatu .....

Rejeeni msemo wa Albert Einstein
" WEAK PEOPLE REVENGE...... STRONG PEOPLE FORGIVE....... AND INTELLIGENT PEOPLE IGNORE........ " SASA NAOMBA MUTOE TOFAUTI ZENU. NA TUENDELEE NA MJADALA SITAKI VURUGU HUMU. TUWE WASTAARABU NA THREADS MUHIMU.
 
Last edited by a moderator:
Most likely atakuwa Lumumba japo sjui sana pia.
Lumumba alikuwa ameshakufa kipindi hicho,Alikutana na Laurent Desire Kabila,kipindi hicho kabila alikuwa na 26 yrs only,Kabila aliunda kikundi ambacho kilikuwa antMobutu,Sasa Che Guevara ndo akaassociate na Kabila,Che Guevara alimuona Kabila ndo Smart among all,hata hivyo baadae walishindwana kwa sababu Kabila ni kama vile hakuwa serious,hakwenda na muda,hakujali muda,Che Guevala akaamua kuondoka ,baadae akaibukia Bolivia na ndiko alikofia
 
Yaani huyo jamaa nataka kuisoma historia yake vizuri maana sikupata kujua kuhusu harakati zake ila kupitia kwako nimejua pa kuanzia.

Ukitaka kumfaidi zaidi pia pitia ktk maduka ya wauza cd au kwa madogo wanaouza cd wambie wakupe cd yake imeandikwa CHE GUEVARA au CHE.lkn ili kukurahisishia maana mimi nilipata tabu sana kuipata-hao-madogo wanaouza cd wambie wakupe cd za ma COWBOYS tafuta nyuma ya kasha imechanganywa humo ni cd tamu sana kwa mtu anaempenda CHE
 
Victoire kwanini wa cuba wengi ni madokta na wanajeshi
 
Last edited by a moderator:
Victoire kwanini wa cuba wengi ni madokta na wanajeshi
Kuhusu madakitari Cuba wapo wengi kwa sababu medical education ilipewa kipaumbele,kumbuka baada ya revolution mwaka 1959 nusu ya Ma DR walikimbia nchi.Kwa hiyo Fidel akahimiza elimu katika medical ili kufidia,sasa wapo wengi sana as ndo field iliyopewa kipaumbele as wao wanaamini katika ulinzi wa afya kwanza.Kule hakuna private hospitals.na wala madakitari hawalipwi vizuri ila kwa vile national health ndo kipaumbele chao basi watu wanasomea tu medicine.Jeshi pia ni katika kuimarisha ulinzi wa nchi si unajua CUBA ni makomunist yaani raia ni kufuata tu serikali inasema nini?hakuna haki ya kupinga.kwa hiyo afya na ulinzi wa nchi ndo vipaumbele ndo maana kuna madr na wanajeshi wengi
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,

castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana

na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!

Che na Castrol hawakupigania uhuru wa Cuba in the sense of kutoka kwa wakoloni...walifanya mapinduzi dhidi ya Baptista ambaye alikuwa Rais na raia wa Cuda...Cuba ilishapata uhuru kutoka kwa wakoloni wa Kispanish kitambo..kama sikosei aliyeongoza kupigania uhuru alikuwa somebody Marti

Che hakukamatwa na CIA bali alikamatwa na majeshi ya Bolivia yaliyokuwa yanasupportiwa na CIA...support kubwa ilikuwa ya zana za mapigano, fedha na mafunzo ya kijeshi..in that case huwezi ukatamka directly kuwa alikamatwa na CIA...otherwise you are right about my number one Revolutionalist and my Idol Che
 
Lumumba alikuwa ameshakufa kipindi hicho,Alikutana na Laurent Desire Kabila,kipindi hicho kabila alikuwa na 26 yrs only,Kabila aliunda kikundi ambacho kilikuwa antMobutu,Sasa Che Guevara ndo akaassociate na Kabila,Che Guevara alimuona Kabila ndo Smart among all,hata hivyo baadae walishindwana kwa sababu Kabila ni kama vile hakuwa serious,hakwenda na muda,hakujali muda,Che Guevala akaamua kuondoka ,baadae akaibukia Bolivia na ndiko alikofia

kweli kabisa..in fact alitoa kauli wakati anatoka Congo kuwa "freeing the people from the bondage of slavery and injustice is a serious matter...it needs more than 100% commitment...I deal with people who are committed" (not direct quotation)
 
Rossoneriubarikiwe sana. Tujuze vitu vingine mkuu..... Kuhusu interest zao. Nasikia huyu jamaa alikuwa anapenda sana bangi. Kuna ukweli?


Alafu Castro alikuwa hanyoi ndevu kutokana na kwamba viwembe vilitengenezwa america na yeye alikuwa na ugomvi nao. Hivyo akaamua tu kuacha kunyoa....ndevu. Je kuna ukweli?

Che alikuwa anavuta bhangi..like all people who need to seriously meditate

Cstrol kutinyoa ndevu ni life style aliyoichagua..na aliwahi kusema kuwa dakika kumi mpaka kumi na tano za kunyoa ndevu amaweza kuzitumia kufanya mambo makubwa kwa ajili ya watu

issue ya viwembe na marekani sio kweli maana asingeshindwaa kuagiza kutoka kwa wacommunist wenzake china na India ambao walikuwa leading producers wa vitu kama hivyo
 
kweli kabisa..in fact alitoa kauli wakati anatoka Congo kuwa "freeing the people from the bondage of slavery and injustice is a serious matter...it needs more than 100% commitment...I deal with people who are committed" (not direct quotation)
Very true,hivi unajua kumtoa Mobutu Kabila alipata support ya Uganda na Rwanda kwa asilimia 150,yaani naweza sema waliomwondoa Mobutu kinshasa ni wanyarwanda.Kabila asingeweza kabisa kina Mseveni na Kagame walimsaidia sana.Sasa alipoingia madarakani akawasahau hata waliomsaidia kuchukua nchi,na wao walimsaidia wakijua kuwa watapata yale madini ya Zaire kirahisi.
 
Hapo pichani ni Che Guevara na Fidel Castro wakiwa ktk uvuvi wa hapa na pale huku wakijadili maswala yao.View attachment 260060

EMBU NIPENI VISA... NA HABARI ZAO HAO WATU..... NADHANI KUNA WANAO WAFAHAMU VIZURI TU HUMU NDANI.......

Hivi huyu Che Guevara ni Mmakonde au mtu wa kusini mwa Tanzania? Nauliza kwa sababu wamakonde/watu wa kusini mwa Tanzania wanatanguliza Che kwa mtu wa heshima au aliyepitia jando.
 
Huyu Mleta thread kuna vitu vingi sana kapindisha na sijui kwa sababu alisikia au kusoma mara moja tu kuhusu Che.

Kuna documental niliona wakidai kuwa:
Castro na Che walianza kupishana kama ilivyo kwenye maisha na Castro alikuwa akimuogopa Che kwa uwezo wake. Alivyomtuma kwenda nje ya Cuba kueneza U-Koministi, alimuomba aandike barua ya kuaga "kama ikitokea amekamatwa, basi Castro adai kuwa Che alishaaga na hana uhusiano wowote na Cuba." Inasemekana kuwa baada ya kuwa ameondoka kwenda kumsaidia Kabila, Castro akaisoma barua ya kuaga ya Che kuwa anaondoka moja kwa moja na harudi tena Cuba.

Che alipokuja Tanzania alikuwa na malengo ya kumsaidia Kabila Sr. Ila akakuta Kabila Sr alikuwa ni mtu Mzembe, Mlevi na Mtu wa kupenda chini kwa sana maana kila jioni ni kwenda kujirusha na vimwana. Che alivyoshindwa kupatana na Kabila kwa matendo yake, wanadai alitamani sana kurudi Cuba ila ndiyo hivyo tena, Castro alishamfungia mlango wa kurudi Cuba. Na ndipo hapo akaamua kwenda Bolivia kuwasaidia wapinzani. Huko alikwenda bila ya kuwa na maandalizi yoyote na ninafikiri Tanzania ilikuwa lazima aondoke na kwa maana nyingine ni kuwa kiliwaka. Argentina pia alikuwa hawezi kwenda. Huko Bolivia alipokwenda, wajinga wakamuuza na kuishia kuuawa na Wanajeshi wa Serikali ya Bolivia.

Uzuri ni kuwa CHE bado yupo HAI na sisi hadi kesho wakati hao wote waliomuuwa, wengi sasa ni Marehemu na hakuna mtu wala anawajadili au kuwambuka. Haijalishi mtu umekuwa maarufu kiasi gani, cha muhimu ni watu watakukumbuka?

Damn, FARAO na Pyramid yake, hadi leo tunamjadili baada ya miaka elfu ngapi sijui.... Barua ya CHE.

letter-to-fidel.gif
che-memorial.jpg
 
Very true,hivi unajua kumtoa Mobutu Kabila alipata support ya Uganda na Rwanda kwa asilimia 150,yaani naweza sema waliomwondoa Mobutu kinshasa ni wanyarwanda.Kabila asingeweza kabisa kina Mseveni na Kagame walimsaidia sana.Sasa alipoingia madarakani akawasahau hata waliomsaidia kuchukua nchi,na wao walimsaidia wakijua kuwa watapata yale madini ya Zaire kirahisi.


Na hii ndiyo sababu kubwa inayofanya Congo isitulie..maana baada ya kuwatosa nao hawawezi kukubali bali wataendelea kuwa-stir watu wa Congo (baadhi) dhidi ya serikali yao..na its true kuwa hata ndani ya majeshi ya Congo kuna wanajeshi ambao ni directly Wanyarwanda na Waganda. Hawa ndo wanatengeneza factions ndani ya jeshi so Congo still has a long way to go towards attaining peace
 
Back
Top Bottom