GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,761
- 128,258
Nani anabishana na wewe? wewe ni mjinga unayejifanya unajua, sasa kwa kusema mimi ni poyoyo hakukuondolei ujinga wako ambao unaenda sambamba na upumbavu.
Mtu unaposema kwamba mseven aliisaidia Tanzania kwa karibu 90% kumng'oa amin uganda wakati tuliingia kwa vifaru, siraha,ndege vita na wapiganaji wetu na tukatumia pesa yetu kumchapa amin halafu mtu useme mseveni alifanikisha kwa azilimia zote hizo, kwa maana ya kwamba jeshi kazi yoote waliyoifanya haifiki hata 20% kwanini usiwe poyoyo na mjinga wa mwisho?
Weka data zinazoonesha ukweli wa madai yako sio kuita watu poyoyo ili tu kujiridhisha nafsini mwako kuwa wewe si poyoyo wakati ni poyoyo wa mwisho.
kajifunze upya kiswahili ndipo uje humu uendelee kubishana na mimi sawa? " siraha " ni kiswahili cha wapi? sasa kiswahili chenyewe matatizo mimi utaniweza kweli? au treni ya kutoka bara imetema hivyo bado una kamba mguuni? jipange upya kwangu mbwiga weye!