Picha: Wataalamu Hawa Nimewa-miss

Picha: Wataalamu Hawa Nimewa-miss

AgentX

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2015
Posts
1,651
Reaction score
1,701
Hapo pichani ni Che Guevara na Fidel Castro wakiwa ktk uvuvi wa hapa na pale huku wakijadili maswala yao. 1434274809967.jpg

EMBU NIPENI VISA... NA HABARI ZAO HAO WATU..... NADHANI KUNA WANAO WAFAHAMU VIZURI TU HUMU NDANI.......
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,

castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana

na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!

Umeelezea vizuri sana mkuu.
 
Rossoneri umeleza vyema, ila hapo kwa KABILA wa Congo kuna mushkeli maana ninavyojua Kabila ni kizazi cha hapa karibuni. Labda iwe huu ukoo ulianza harakati za uongozi kitambo. Hebu tufafanulie hapo kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Yaani huyo jamaa nataka kuisoma historia yake vizuri maana sikupata kujua kuhusu harakati zake ila kupitia kwako nimejua pa kuanzia.

Fresh sana mkuu,jamaa huyo anainspire sana ukimwelewa vzuri,jitahidi kumjua zaid huyo jamaa
 
Rossoneri umeleza vyema, ila hapo kwa KABILA wa Congo kuna mushkeli maana ninavyojua Kabila ni kizazi cha hapa karibuni. Labda iwe huu ukoo ulianza harakati za uongozi kitambo. Hebu tufafanulie hapo kiongozi.

Ni Laurent kabila atakuwa amemaanisha sio Joseph kabila.
 
Last edited by a moderator:
Hapo pichani ni Che Guevara na Fidel Castro wakiwa ktk uvuvi wa hapa na pale huku wakijadili maswala yao.View attachment 260060

EMBU NIPENI VISA... NA HABARI ZAO HAO WATU..... NADHANI KUNA WANAO WAFAHAMU VIZURI TU HUMU NDANI.......

kwa sasa hapa afrika watu wa aina yao tulionao ni watatu si ambao ni marais robert mugabe, yoweri museveni na paul kagame pekee.
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!

Mkuu guavera hakuuwawa na CI A km unavyodai..huyu mtu alifia bolivia alipokuwa akipigana na ukolloni wa nchin bolivia.kingine ambacho kilimponza ni yy kubadili dini akawa islamic ili hali america uisilamu haukuwa na nguvu...duuu subir nikarejeee nondo zangu za BLACK PEOPLE IN THE NEW WORLD..and PAN AFRICANISIM
 
Yaa mkuu nimesema aliuwawa bolivia chini ya CIA,nondo za skul sometimes ni propaganda mkuu,mi nimechek documentary yake ndivyo ilivyosema,na wengi walioongelea hyo documentary yake ni watu wake wa karbu pamoja na askari mmoja aliyehusika kwa kifo chake amesema hvyo,labda wawe wameongope!!...ila kuhusu nondo za skul usiweke consideration sana hyo ni kijbia mtihan mkuu,vtu vngi vya ukwel vinafichwa huko
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!

Kuna mahali umetupia uongo kidogo pale uliposema alienda Congo akakutana na Kabila. Labda usahihi wake tuseme alikutana na Mobutu.

Tiba
 
hamna jamaa ni Laurent kabila kwel
 
Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!
wamarekani wameua sana wana damu ya uaji Savimbi,Saadam,Osama,Gadafi,Mandela,Siade Bare etc
 
Mkuu guavera hakuuwawa na CI A km unavyodai..huyu mtu alifia bolivia alipokuwa akipigana na ukolloni wa nchin bolivia.kingine ambacho kilimponza ni yy kubadili dini akawa islamic ili hali america uisilamu haukuwa na nguvu...duuu subir nikarejeee nondo zangu za BLACK PEOPLE IN THE NEW WORLD..and PAN AFRICANISIM

Kwani CIA hawapo huko Bolivia?
 
Yaa ni Laurent kabila nilimaanishaa,baba yake huyu wa sasa,sio huyu wa sasa joseph kabila

Mkuu unaonaje kama tukiwa na thread inayochambua historia na maisha ya wanamapinduzi barani Afrika kama Muammar Gaddaf,Robert Mugabe,Che Guivara.Nkurumah na Mandela watu tujifunze ili kujua harakati zao zilivyokuwa na jinsi gani tunaweza kuwaenzi kama watetezi wa Afrika.
 
Back
Top Bottom