Che guevara alikua ni raia wa argentina na alikua na degree ya udaktar(medicine) na alikua anaaoma sana vtabu,ila aliweka pemben udaktar na kuanza harakat za kupigania uhuru wa nchi mbalimbali,baada ya hapoa alifka cuba na kukutana na fidel castro na kumshawshi kupigania uhuru wa cuba,castro alikua anaogopa kwa kua haqakua na jesh imara kupambana na wakolon,che guevara alimshawashi hadi akakubali,wakashnda na castro akawa raisi na guevara waziri mkuu,baada ya mda kdogo guevara akamwandikia barua castro ya kujiuzulu uraisi ili kuendeleza harakat zake za kuwapa nchi nyngine uhuru,castro alimshawshi ila guevara alikataa,kaondoka hadi congo kupitia ziqa tanganyika na kukutana na kabila akamshawshi na kuwa congo uhuru,baada ya hapo akaenda bolivia ambapo kiongoz mkuu wa wazawa alimsaliti na kumtia mikono mwa CIA wa marekani wakitaka aache hzo harakat zake nakua pamoja nao,alikataa na akawa tayar kufa,wakamuua ila castro hakuamini kua amekufa hadi aliposhika mwili wake aliumia sana na hapo ndio uaduia wa cuba na marekan ukaongezeka!....kwao che guevara argentina akawa alama ya kuhamasisha vijana kupambana na haki zao kwa kua kwenye harakat zake alikua anaamini na kutumia vijana,pia alikua anaamini vijana ndio wanaweza leta mabadiliko popote pale duniani,ndip vjana wa argentina wakawa wanaprint picha zake kwenye tshirts na vtambaa!.....che guevara moja ya inspirational person kwa wanaharakat wengi dunian!..,hvyo ndio kdogo nnavyo faham kuhusu hao majamaa,namkubali sanaaa che guevara!!