Huyu ni Mwanadada MTANZANIA atakayenyongwa IJUMAA hii Nchini Misri baada ya kukutwa na Madawa ya kulevya
Asubuhi tuliripoti juu ya kuwepo kwa mtanzania mwenzetu anayetarajiwa kunyongwa ijumaa hii ( bado hatuna uhakika ).....
Tumefanikiwa kuinasa video wakati akikamatwa na madawa ya kulevya...
Hizi ndo picha za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.
Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo
Hamnaga hela za bure, watu wanapenda hela za shortcut, wakituona sisi wengine tunasukuma mikokoteni ya maji njiani wanatutemea mate, Namuonea huruma sana huyu dada!!
nchi hakuna msaada wowote kwa raia wanaoishi ughaibuni.hata kama ni muhalifu still anabaki kama raia wa tz na serikali inatakiwa kumsapoti hasa msaada wa kisheria/wakili.but since the country is dead from inside unachotegemea kupata kwa nje ni harufu ya mzoga tu na si kingine.
hatuwezi kutumia gharama zetu kwenda kutetea wala unga na wasafirisha unga. hizo peasa wakaboreshe ulinzi kwenye mpaka wa rwanda ili ardhi yetu isiporwe na watutsi
Namuonea huruma kama mwanamke mwenzangu ambae amefanya pupa katika maisha ila hiyo adhabu anastahili maana huo unga ungeua na kuathiri maelfu ya vijana
Ni tamaa tu Mkuu, mtu anasahau kabisa kuwa pesa hutafuta lakin UHAI HAUTAFUTWI! ni kweli nchi kama hizo kuna faida za kutisha, lakini matokeo yake ndiyo hayo! Acha niendelee kuganga tu, kufa umri huu, tena kizembe namna hiyo BADO!