Picha/VIDEO: Msichana wa Kitanzania aliyekamatwa na Unga huko Misri kunyongwa Ijumaa 07, Juni 2013

Status
Not open for further replies.

nngu007

JF-Expert Member
Aug 2, 2010
15,862
5,797
attachment.php



Huyu ni Mwanadada MTANZANIA atakayenyongwa IJUMAA hii Nchini Misri baada ya kukutwa na Madawa ya kulevya


pix.jpg


Asubuhi tuliripoti juu ya kuwepo kwa mtanzania mwenzetu anayetarajiwa kunyongwa ijumaa hii ( bado hatuna uhakika ).....


Tumefanikiwa kuinasa video wakati akikamatwa na madawa ya kulevya...

Hizi ndo picha za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.

Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa

mtanzania-egypt-misri-kunyongwa-1.jpeg

mtanzania-egypt-misri-kunyongwa-0.jpeg

Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
mtanzania-egypt-misri-kunyongwa-3.jpeg

Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake

Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo

 
Last edited by a moderator:
He pole yake maana mshahara wa zambi, malipo yake ndio hayo. Lakini mbona ni picha ya pozi hii?
 
wacha niweke picha yake nyingine, inahuzunishaa sanaa, hivi hamna namna ya kuweza kumsaidia jamani?
 
bora anyongwe tu. wamezoea hawa. hivi kwa nini Mungu aliruhusu riz akaachiwa?
 
Atanyongwa.jpeg

Hamnaga hela za bure, watu wanapenda hela za shortcut, wakituona sisi wengine tunasukuma mikokoteni ya maji njiani wanatutemea mate, Namuonea huruma sana huyu dada!!
 
Labda tumuulize Membe, anawezaje kumsaidia. Ila dah! noma kunyongwa kabisa, plz membe do something
wacha niweke picha yake
nyingine, inahuzunishaa sanaa, hivi hamna namna ya kuweza kumsaidia
jamani?
 
Labda tumuulize Membe, anawezaje kumsaidia. Ila dah! noma kunyongwa kabisa, plz membe do something

Sure friday bado kunaa siku kadhaa anaweza kufanya something, mtu unakaa now unawaza friday unanyongwa inahuzunisha sanaaa....
 
nchi hakuna msaada wowote kwa raia wanaoishi ughaibuni.hata kama ni muhalifu still anabaki kama raia wa tz na serikali inatakiwa kumsapoti hasa msaada wa kisheria/wakili.but since the country is dead from inside unachotegemea kupata kwa nje ni harufu ya mzoga tu na si kingine.
 
Labda tumuulize Membe, anawezaje kumsaidia. Ila dah! noma kunyongwa kabisa, plz membe do something

hatuwezi kutumia gharama zetu kwenda kutetea wala unga na wasafirisha unga. hizo peasa wakaboreshe ulinzi kwenye mpaka wa rwanda ili ardhi yetu isiporwe na watutsi
 
Namuonea huruma kama mwanamke mwenzangu ambae amefanya pupa katika maisha ila hiyo adhabu anastahili maana huo unga ungeua na kuathiri maelfu ya vijana
 
Anyongwe tu... Ameua wangapi kwa hayo mapowder... yaan taifa linaangamia yeye anapeta!!!!
 
Sure mkuu kuna watu huwa hawafikirii kabisaa sijui kutokuwa na akili au vipi??sio kila nchi zipo safe

Ni tamaa tu Mkuu, mtu anasahau kabisa kuwa pesa hutafuta lakin UHAI HAUTAFUTWI! ni kweli nchi kama hizo kuna faida za kutisha, lakini matokeo yake ndiyo hayo! Acha niendelee kuganga tu, kufa umri huu, tena kizembe namna hiyo BADO!
 
Status
Not open for further replies.
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom