Linex amkana Jack Cliff baada ya kunaswa na UNGA huko China....Amedai kuwa hana ukaribu naye wala us

Money Stunna

JF-Expert Member
Aug 9, 2011
13,070
2,000

Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya nchini China (Jack Clief) , Msanii Linex ambaye amefanya video ya wimbo wake wa Kimugina na msichana huyu ameamua kumkana laivu....

Huu nu ujumbe wake alioundika facebook 

Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,876
2,000
Wasanii wetu wengi hawako mentally stable.
Angalia alicho kiandika so called linex
mtu anaweza kujiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika hayo?
Alaf nani alitegemea kuwa so called linex anaweza kukubali kuwa na ukatibu na huyo jackie?

hivi "COS" ndio nini?
 
FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,366
2,000
Bwana akamwambia Petro.........kabla ya jogoo kuwika......utanikana mara tatu...... ........alianza Kadinda akadinda.......sasa.....Finex......bado mmoja andiko litimie.... Ila kwa maoni yangu nyie kina PETRO mmekurupuka mapema mno.....mngesubiri subiri......hamuwezi jua....mmesahau yupo "Silvestre Stallon John Rambo"...alivyo rescue mfungwa wa SA....sasa je akienda na china alafu bi mdashi atie timu kama Masogange sijui nyuso zenu mtazificha wapi... Na kwa umaarufu wawili hawa naona kama wanarandana........mtaumbuka aise......
 
magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
6,105
2,000
Wasanii wetu wengi hawako mentally stable.
Angalia alicho kiandika so called linex
mtu anaweza kujiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika hayo?
Alaf nani alitegemea kuwa so called linex anaweza kukubali kuwa na ukatibu na huyo jackie?

hivi "COS" ndio nini?

"Ukatibu" ndio nini
 
Emma Lukosi

Verified Member
Jul 22, 2009
929
195
Wasanii wetu wengi hawako mentally stable.
Angalia alicho kiandika so called linex
mtu anaweza kujiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika hayo?
Alaf nani alitegemea kuwa so called linex anaweza kukubali kuwa na ukatibu na huyo jackie?

hivi "COS" ndio nini?

Nadhani atakua anamaanisha Cosine

Cosine (COS) = Adjacent / Hypotenuse
 
Mtanzanika

JF-Expert Member
Feb 27, 2012
2,391
2,000
Wasanii wetu wengi hawako mentally stable.
Angalia alicho kiandika so called linex
mtu anaweza kujiuliza kulikuwa na umuhimu gani wa kuandika hayo?
Alaf nani alitegemea kuwa so called linex anaweza kukubali kuwa na ukatibu na huyo jackie?

hivi "COS" ndio nini?

bilashaka alitaka kuandika Coz ya because!!!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom