Picha/VIDEO: Msichana wa Kitanzania aliyekamatwa na Unga huko Misri kunyongwa Ijumaa 07, Juni 2013

Status
Not open for further replies.
By ram<br />
Labda tumuulize Membe, anawezaje kumsaidia. Ila dah! noma kunyongwa kabisa, plz membe do something
<br />
<br />
Sure friday bado kunaa siku kadhaa anaweza kufanya something, mtu unakaa now unawaza friday unanyongwa inahuzunisha sanaaa....

Kama ndio mimi ningejufa hata hio friday haijafika kwa kihoro
 
Atendewe kama alivyotenda,kavaa ushungi hata aibu hana,,kwanini riz one walimuacha,,rais wa tz,japani,wa zanzibar china
Namuonea huruma kama mwanamke mwenzangu ambae amefanya pupa katika maisha ila hiyo adhabu anastahili maana huo unga ungeua na kuathiri maelfu ya vijana
 
nchi hakuna msaada wowote kwa raia wanaoishi ughaibuni.hata kama ni muhalifu still anabaki kama raia wa tz na serikali inatakiwa kumsapoti hasa msaada wa kisheria/wakili.but since the country is dead from inside unachotegemea kupata kwa nje ni harufu ya mzoga tu na si kingine.

Are you serious? Unazijua sheria za hao jamaa?!! na kwanza Tanzania ni nchi maskini, kupoteza kidogo tulichonacho kumtetea mtu aliyeamua kujitoa Muhanga ni hasara iliyoje! hiyo pesa wanaihitaji sana maskini waweze kupata mlo wa siku! Kama yeye alijiamini kupeleka bidhaa huko alitakiwa ajiandae na matokeo pia.
 
Jambo wananoniumiza ni kuvaa ushungi wakat wa kufanya mabalaa yao wanatutia ila mbaya sisi wenye vivazi hivo hivi karibuni tu dda angu alipita mahali london watoto wakakimbia wakasema isije kua ana bomu.
 
Ni tamaa tu Mkuu, mtu anasahau kabisa kuwa pesa hutafuta lakin UHAI HAUTAFUTWI! ni kweli nchi kama hizo kuna faida za kutisha, lakini matokeo yake ndiyo hayo! Acha niendelee kuganga tu, kufa umri huu, tena kizembe namna hiyo BADO!

Sanaaa na walimbebesha naona, na kama angeweza kuvuuka nao hapo hivi ingekuwaje unadhani, si ndio tungekutana nae mtaani na dharau juu??uhai wa mtu hautafutwi, ila hela inatafutwa na inapatikana, huyu dada amecheza na maisha sasa hapo mawazo yote anawaza kifo....alafu umri wake bado mdogo sana tena sanaa...
 
Are you serious? Unazijua sheria za hao jamaa?!! na kwanza Tanzania ni nchi maskini, kupoteza kidogo tulichonacho kumtetea mtu aliyeamua kujitoa Muhanga ni hasara iliyoje! hiyo pesa wanaihitaji sana maskini waweze kupata mlo wa siku! Kama yeye alijiamini kupeleka bidhaa huko alitakiwa ajiandae na matokeo pia.

Ndugu utafananisha riz na huyo dada?
 
Sanaaa na walimbebesha naona, na kama angeweza kuvuuka nao hapo hivi ingekuwaje unadhani, si ndio tungekutana nae mtaani na dharau juu??uhai wa mtu hautafutwi, ila hela inatafutwa na inapatikana, huyu dada amecheza na maisha sasa hapo mawazo yote anawaza kifo....alafu umri wake bado mdogo sana tena sanaa...

Baado sana, anawaachia majonzi tu wazazi na ndugu! kabebeshwa, na yeye bila kutathmini akajitosa, dah!...balaa.
 
uwiii jamani asamehewe tu m sure atakua kajifunza, nyie huruma sana af nackia ana mtoto uku bongo hao waarabu pia wananyongwa au?, yani nackia huruma ad basi mungu amtangulie amejfunza asamehewe tu mweeh!
 
Kama Magwea amekufa na TID kabaki kichwa tu kwa haya madude. Embu fikiria kama wewe mwanao ni nyoka utatoa adhabu gani
Binafsi nafikiri adhabu atakayo pambambana nayo itamstahili.
 
Baado sana, anawaachia majonzi tu wazazi na ndugu! kabebeshwa, na yeye bila kutathmini akajitosa, dah!...balaa.

Hapo alipo sasa hivi anawaza tu maskini, kwa kweli hela za haraka haraka huwa zina matatizo yake...mkuu hapo atakuwa amepewa hela ndefu lazima ajitose na yeye.....alishapiga mawazo akipata hizo hela anatengeneza maisha mazuri
 
hatuwezi kutumia gharama zetu kwenda kutetea wala unga na wasafirisha unga. hizo peasa wakaboreshe ulinzi kwenye mpaka wa rwanda ili ardhi yetu isiporwe na watutsi
Mbona mwanamfalme alikamatwa china na kaachiwa baada ya kupewa bandari bwagamoyo kaachiwa,why kwa mjasiriamali kama huyu anaachwa ajifie kama mzoga??
 
Yaani dada zangu mnatumika kila mahali kisha mnatupwa kama TP! ALIYEMTUMA YU WAPI SASA? Unanyongwa aliyekutuma hata hato julikana naye awajibishwe.
Yote ya yote watupe ajekufungwa maisha hapa kwetu kuliko kumnyang,any,a maisha mrembo wa kiTz.
 
Mbona mwanamfalme alikamatwa china na kaachiwa baada ya kupewa bandari bwagamoyo kaachiwa,why kwa mjasiriamali kama huyu anaachwa ajifie kama mzoga??

i hate kwa nini aliachiwa! lakini si unajua nchi yetu iliuzwa ndo akaachiwa? huyu tutauza nini? mi natamani nchi nyingi zingekuwa zinanyonga watu hawa kabisa. riz mkuu alikurupuka usiku kwa usiku baada ya marmo kushindwa kumnusuru na aliwahiwa kabla habari hazijatoka hata kwenye vyombo vya habari vya china. ingeandikwa magazetini asingeachiwa.
 
Namuonea huruma kama mwanamke mwenzangu ambae amefanya pupa katika maisha ila hiyo adhabu anastahili maana huo unga ungeua na kuathiri maelfu ya vijana

Aisee! Sina neno la kusema.
 
Dah huyu bint nishamfaham vizuri,muda mwingi alikuwa anaishi moja ya nchi za middle east nishakutana nae usiku flani tena ni mcheshi sana maskini toma
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom