nngu007
JF-Expert Member
- Aug 2, 2010
- 15,862
- 5,797
Huyu ni Mwanadada MTANZANIA atakayenyongwa IJUMAA hii Nchini Misri baada ya kukutwa na Madawa ya kulevya
Asubuhi tuliripoti juu ya kuwepo kwa mtanzania mwenzetu anayetarajiwa kunyongwa ijumaa hii ( bado hatuna uhakika ).....
Tumefanikiwa kuinasa video wakati akikamatwa na madawa ya kulevya...
Hizi ndo picha za huyo msichana anayetajwa kuwa ni Fatma aka Brown Berry wa Ilala Dar es Salaam ambae amekamatwa akisafirisha madawa ya kulevya au nchini Misri.
Pia chini kuna video inayoonyesha maafisa wa Egypt wakionyesha jinsi unga huo ulivyofichwa ndani ya begi kabla ya kubambwa
Fatma akiwa na inayesemekana kuwa ni mwanae
Fatma aka Brown Berry akiwa na mpenzi wake
Hapa chini ni video inayoonyesha kukamatwa kwake na unga huo
Last edited by a moderator: