Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Na flyover watajenga chato
 
Design ya uwanja imeshafanyika toka mwaka 2013. Siku si nyingi ujenzi unaanza. Wanasongea watapata uwanja wao.
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Una nguvu Bujibuji?
Wenye Chama chao wanakupimia tu!!!
 
Komaeni tu timu yenu ya Maji Maji isishuke daraja izidi kuwafariji ila kwa upande mwingine nawapa pole sana
 
"na haya ndio mafanikio ya ccm miaka 57 baada ya uhuru na miaka 54 baada ya muungano...na bado wanasema eti hatujafanya kitu.
ccm oyeee!!"
 
Songea mnataka Uwanja wa kazi gani¿¡


Ni matumizi mabovu ya fedha kujenga uwanja wa ndege Songea.
Wanataka wa kubebea ngoma ya Lizombe,Feo bus tu hawapandi sembuse ndege,kwanza watumie uwanja wa Songwe halafu wapande Nganga Bus kwenda Songea au washuke Kyela wapande meli wakashukie Mbamba Bay.Hawa jamaa wamekosa fadhila kwenda Songea ukipitia Dar ni lami,ukipitia Tunduru ni lami halafu eti upeleke FastJet Songea labda atapanda Bujibuji peke yake
 
Itabidi wana ruvuma mmjiongeze
Mjipende na mpende kwenu
Nimepita Namtumbo kuna shule hazina hadhi kabisa ya kkutwa shule
 
Kataa ccm kwa ustawi wa nchi.

kuendekea kuikumbatia ccm hizo ndio fadhila zake.tulieni hvyo hvyo mmeipenda wenyewe chaguo lenu milele! nawavimbe wapasuke chaguo lenu milele.

mbere kwa mbere na sisiemu yenu.
 
Kawoli upooo!!! Wewe lazima nyumbi bombiii, hahahaaaa!! Hilo jina babu yangu alipendaga sana kutumia eti "kawoli yeee kwoki" yaani pilipili yenyewe iko wapi!! Moniliiii, hahahaaa
Kwokii? Ndio wapi?

Basi hiyo lugha inafanana na lugha ya wakazi wa mlima kilimanjaro.
 
Back
Top Bottom