Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

duuu kweli mmeelekezwa mavumbini hadi kigoma imewashinda uwanja wa ndege
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
We mzee unashinda kwenye Habari za kipumbavu kukashifu na kumtukana MAGUFULI kucha kutwa Habari za maana kama hizi utazijulia wapi?

duuu kweli mmeelekezwa mavumbini hadi kigoma imewashinda uwanja wa ndege
Endelea kujikita kwenye page ya mange kimavi,

MAGUFULI akishinda 2020 kwa 98% msiseme wala msishangae nyie endelezeni umbea yeye ni [HASHTAG]#HapaKaziTu[/HASHTAG]
 
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
nawewe ni wa nyumbi bombii
 
Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Wamekuwa kama dada yao Mange Kimambi, yule wa hide my Id please.
 
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
 
Lakini Chato ndiyo anakotoka mkuu wa nchi, huvyo unaweza ukaona jinsi kuluvyo muhimu zaidi.
Pia Ruvuma maendeleo yao na uwanja wao wa ndege inabidi vibaki hivyo ili kuwe na kumbu kumbu za kizamani si unajua kuwa vita ya majimaji ilipiganwa pande hizo? So mtu anaposimuliwa akiangakia around na kuona kuluvyokaa kizamani anakua anapata ile picha hasa.
hahaaaa daaahh kwahiyo ruvuma pawe kijiji cha ruvuma museum.. aisee
 
Duh!huo ni uwanja wa ndege au eneo la kupaki mitambo ya mkandarasi????
mkuu umona vibaya ..lile nishamba la kilimo cha kahawa ..mabwana shamba wapo kwenye survey wanataka kupeleka kilimo cha kahawa huko
 
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Unafiki na kujipendekeza kwa wangoni kunawaponza mji hauna challenge kabisa
 
Back
Top Bottom