Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Moja kati ya mikoa vichekesho songea huko watu wana roho mbaya sana, Tatizo la wangoni waliamua kukwapua wanawake wa makabila mengine akili ndogo

Kipindi cha uchaguzi akina Mama wa huko wanakata mauno tu kwa ccm
Yerewiiiii
 
Back in the days uwanja wa Songea ulikua bomba Sana saiv Naona vipara kibao kiukweli umechoka.Da mpaka aibu
 
Haha haha haaaa sisi tuliichagua CCM kesi za UCHOCHEZI hazituhusu
Sawa mr. Mvua ikinyesha si ndiyo hatari sana? Au watasema barabaran ya vumbi ndiyo nzuri kwasbb ina expansion joint. Halafu mwisho wa siku wanaanza kuziba expansion joint
 
Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
sawa, tuseme upo sahihi....swali: risasi za nini sasa???
 
Unamkubali kwa lipi?
Kupiga wakosoaji wake risasi? Au
Kuwapendelea wa ukanda wake? Au
Kuwapoteza kina Ben na Azori? Au
Kutohudhuria misibani? Au

Kuwabambikizia wapinzani Kesi? Au
Kujenga uwanja wa ndege chato ilihali uwanja wa ndege wa mwanza hautamaniki ? Au

Kufuta ada ya sec ya 10,000/ na kushindwa kutoa mikopo kwa wanavyuo ? Au

Kutopandisha mishahara kwa miaka mitatu na kupandisha makato ya mishara eti mikopa ya HESLB?au

Kufungia vyombo vya habari kisa kukosilewa ?au

Kuwakata wapinzani mapanga (mawazo)?au

Kuporomosha uchumi kwa kuchukia biashara na shughuli za wananchi kisa hawakukuchagua?au

Unasiri gani na huyu MTU wako?. Jamani tuwe na raho ya ubinadam huyu jamaa yako mwambie siku ni nyingi kuliko punje za mchanga.
 
Back in the days uwanja wa Songea ulikua bomba Sana saiv Naona vipara kibao kiukweli umechoka.Da mpaka aibu
Hivi hiyo stand kuu hapo mjini bado ni ile ile...!??
 
Hahahahahaa WA Sumbawanga si ndio Uko jirani na Main Road ukielekea Katavi? Halafu jirani kuna Daraja then juu pale kuna Round about
Mkuu kama juu kuna round about, ndege ina wezaje kutua? au ndio mambo ya jadi?
 
nawaona hapo wanawahi kupanda.ndege isiwaache.

hahahahahahahahaha......
 
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Siyo kutelekezwa bali ni stahiki yenu hiyo. Hamhitaji lolote la maendeleo labda manju wa ngoma yenu ya lizombe apelekwe ng'ambo kujifunza mbinu mpya. Kazi yenu kucheza ngoma mbele zao ili watikise vichwa na kuwapigia makofi inatosha mno!
Endeleeni kuwasifu kwa nyimbo na tarumbeta na anzisheni kikundi kingine cha TOT B ikibidi!
 
Kwa haraka haraka nilijua hapo ni shamba limeandaliwa kwa ajiri ya kupanda maboga, Ruvuma endeleeni kutuvumilia mpaka mtakapopata akili ndio myafikiriwa
 
kuna mtu mmoja ana bichwa kama halia ni wa hovyo kabisa.
 
Siyo kutelekezwa bali ni stahiki yenu hiyo. Hamhitaji lolote la maendeleo labda manju wa ngoma yenu ya lizombe apelekwe ng'ambo kujifunza mbinu mpya. Kazi yenu kucheza ngoma mbele zao ili watikise vichwa na kuwapigia makofi inatosha mno!
Endeleeni kuwasifu kwa nyimbo na tarumbeta na anzisheni kikundi kingine cha TOT B ikibidi!
Tunacheketua viuno vyetu lakini wao wanatuacha mavumbini
 
Back
Top Bottom