Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Songea ipi unayoishi mkuu ya kuitetea CCM hivyo?? Hii yenye huduma mbovu kila mahali?? Barabara na vituo vya abirua katikati ya mji uchafu mtupu vinajaa maji, huduma za afya hovyo, usafiri ndo usiseme, kamji giza hata kuweka taa za solar hakuna lakini kura zote CCM. Ukweli ni kwamba Ruvuma hakuna wa kuisemea bungeni!
 
Tukichagua chadema tutaendelea kama Moshi na Arusha
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
hiki toka pesa kujenga una lalamika.sijui nikuweke haina gani ya mswahili wa manzese
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Moja kati ya mikoa vichekesho songea huko watu wana roho mbaya sana, Tatizo la wangoni waliamua kukwapua wanawake wa makabila mengine akili ndogo

Kipindi cha uchaguzi akina Mama wa huko wanakata mauno tu kwa ccm
 
da mange kaona?awamu hii serikali sikivu soon wataanza ujenzi apo .tupaze sauti kwa nguvu
 
Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Nhhhhh mtoa mada ni mtu wa songea lakin kama wew
 
Alafu mnataka bombadier ituwe hapo

Ova
 
Hahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
Weye unabishia ukweli kwa kila maoni yako? Una kaharufu ka uhuni mwilini mwako.
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Kesi ya uchochezi ina kuhusu mr. Mambo ya CCM hayo
 
Back
Top Bottom