Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Picha:- Uwanja wa Ndege Songea

Ruvuma ni muhimu sana kwa nchi hii kuliko Chato. Sisi tunalisha nchi
Lakini Chato ndiyo anakotoka mkuu wa nchi, huvyo unaweza ukaona jinsi kuluvyo muhimu zaidi.
Pia Ruvuma maendeleo yao na uwanja wao wa ndege inabidi vibaki hivyo ili kuwe na kumbu kumbu za kizamani si unajua kuwa vita ya majimaji ilipiganwa pande hizo? So mtu anaposimuliwa akiangakia around na kuona kuluvyokaa kizamani anakua anapata ile picha hasa.
 
Uwanja wa ndege wa Iringa (Nduli) hauna choo. Siku tumbo likimvurugika maggid sijui atafanyeje Mwenyekiti wangu
 
Buffalo yetu inatua hapo miaka mingi tu bila shida yoyote......mtoa mada una hasira zako tu...pole sana.
 
Ngoja wawanyonge.
Ninyi wote si ni wanyonge!???

Basi, nyongenwi tu hadi akili ziwa rudi kuwa kuwapa ccm kura na majimbo yote ni unafiki.

Sitaki mapovu jamani ninyi wana wa kijani...
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Kitaalamu kwa uzito wa ndege zinazotua hapo na wingi wake,hakuna tatizo lolote,kwa ufupi mpo salama
 
Duh!huo ni uwanja wa ndege au eneo la kupaki mitambo ya mkandarasi????
 
27331759_1731273720262481_3408305987825557482_n.jpg

Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Uzuri mimi huwa sipandagi ndege wanapanda wao wenyewe
 
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Cc Lizaboni
 
Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Hivi mello nikilitukana jitu kama hili utanipiga ban tena???

Daaaaa , kweli kuwa shabiki wa ccm lazima uwe umepungukiwa marinda.......
 
Kawoli upooo!!! Wewe lazima nyumbi bombiii, hahahaaaa!! Hilo jina babu yangu alipendaga sana kutumia eti "kawoli yeee kwoki" yaani pilipili yenyewe iko wapi!! Moniliiii, hahahaaa
 
Back
Top Bottom