Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,430
- Thread starter
- #121
Challenges tutazipata wapi?Unafiki na kujipendekeza kwa wangoni kunawaponza mji hauna challenge kabisa
Challenges tutazipata wapi?Unafiki na kujipendekeza kwa wangoni kunawaponza mji hauna challenge kabisa
Kaeni na chama tuwachieni tufaidi kodi zenu kwa maendeleo. YeebahHahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
Umesema kwa hasira sana..Sasa huko Ruvuma ni kipi kizuri jamani? nend vijijini ndo shida, watoto wanasomea shule za ajabu kabisa..nguzo zimesimikwa na kupauliwa ovyoovyo kwa combination ya bati chakavu na nyasi eti tayari ni shule. Ivi hiyo CCM kama ilikuwa inawapenda hivyo wanaoichagua si wangefanya mambo basi? Kaangalie na makazi ya watu.. ni shida..mwendo wa nyasi kila mahali.. ivi unaanzaje kuilinganisha na kaskazini? kule shule zao, makazi yao, barabara zao ni super.. Na kule ndo Upinzani toka 1995. Amkeni Wanalizombe, madai haki yenu wasiwafanye mazuzu kiasi hichoHahahahaaaaaaa endeleeni na utaratibu wenu wa kupokea makapi ya ufisadi yanayotimuliwa CCM, sisi wenye kujitambua kamwe hatuji huko kwa wapiga dili. Chama chenyewe mlishamuuzia Lowassa fisiadi kitambo then bado mnakuja hapa kutushawishi rubbishes!!
![]()
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.
Uwanja una rough carpet la brown, sio shamba la ndaguJirani na maeneo yangu ya kujidai Mfaranyaki. Kama namuona vile Dada Mayasa hapo Airport akikagua wasafiri kabla ya kuwaruhusu kuingia ndani ya ndege.
Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
nyumbii bombiii,bujibuji bora umesema.Mkoa mzima wa Ruvuma hamna mbunge wa upinzani. Kura zote tuliwapa CCM Na hiyo ndio shukrani yao.
Sisi ni among top four feeders wa nchi hii, Chato Haina mchango wowote lakini wao wanapelekewa Kila kitu, traffic lights, international airport, hospital ya rufaaa etc sisi Wana Lizombe tumetelekezwa mavumbini
Uwanja ukipanda mchicha unaotanyumbii bombiii,bujibuji bora umesema.
Hapa Na nyungo pia huruka Na kutua Mara nyingi zaidi ya eropuleniMkuu mbona huo mzuri...
Utizame huu wa Sumbawanga..
Watoto...watu...mifugo..bajaji...
CCM tumewapa nchi miaka 55.
View attachment 690052 View attachment 690053
WE UNA AKILI FUPI SANA UNAMSIFU KWA KUWABANA MAFISADI SIO KUKUNUFAISHA WEWE, Ungemwambia ye Ndo Rais wenu na unampenda kwa kukufanya 1..,2.., 3.., na sio kubana majizi je baada ya kuwabana we umenufaika na nini.Mtoa mada unanifanya niamini kuwa hukutoa mada hii kwa lengo jema bali una hasira zako tu na huyo unayedai kuwa Rais wa Chato. Uwanja huu ni kweli wa siku nyingi na tayari serikali imeuingiza kwenye mpango wa ukarabati mkubwa na soon tunategemea utafanyiwa ukarabati huo. Mbali na mpango huo mkubwa, ukarabati mdogomdogo wa mara kwa mara umekuwa ukifanyika kuhakikisha ndege zinatua bila matatizo. Ninavyokueleza haya niko Songea na nina uhakika na ninayoyasema. Acheni uchochezi usio na miguu wala kichwa!! Yote kwa yote Dkt John Pombe Magufuli ndiye Rais wetu na tunamkubali kwa kazi nzuri ya kuyaminya majizi na mafisadi na kututetea wanyonge. Pigeni kelele sisi hapa kazi tu!!
Kuandika zero we mama eti *inji*Jamani hii inji imepigwa.
Unaweza kukuta hapo mahela kibao yalishatoka ya kujenga hivyo viwanja;
Uzuri ni kwamba Bombadier zinatua hata msituni .![]()
Jamani huu uwanja si salama kwa Abiria wanaoutumia, pia si salama ka ndege Na wahudumu wake.
Tunachokitafuta tutakipata siku si nyingi.
CCM tuwape nini mridhike? Kama ni kura mbona zote tunawapeni? Tuoneeni huruma, Rais wa Chato ndio Rais wa Songea pia, sisi hatuna Rais mwingine kama kule Mbeya.