Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Mungu kwa mara nyingine tena sifa na utukufu ni juu yako. asante kwa afya na uzima wa Tundu Lissu hakika wewe ni mkuu na ukuu wako hautamaliki..... Asante kwa zawadi ya kutuletea Tundu Lissu Duniani najua yuko kwa sababu maalum.. Asante kwa kibali cha kumponya.. Wewe ndiwe Alfa na Omega........ Hakuna kama wewe Bwana ukuu wako unatambulika ulimwenguni kote asante Yesu wewe ndio jana leo na hata milele.


Kila hatua anayoipitia Tundu Lissu ni kwa utukufu wako.. asante kwa yote wewe ndio ujuaye... Baba tunakuomba hata waliojaribu kuyakatisha maisha yake ukapate kuwaonyesha hadharani na sisi watanzania tuweze kuwajua maana wanajivika ngozi ya kondoo inihali wana roho katili za wanyama waumizao. Lakini wewe baba hukuruhusu haya yatokee kwa Watanzania kwa kuwa unalo kusudi muhimu sana kwa Tundu Lissu..

Baba Mungu endelea kumbariki na kumponya. katika jina La Mungu baba mwana na roho mtakatifu AMEN
 
Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA, Mbunge wa Singida Mashariki na Rais wa TLS, Mhe Tundu Lisu akiwa nchini Ubelgiji anapoendelea na matibabu na mazoezi ya kuimarisha viungo, huku akiwa ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo na hali yake kuzidi kuimarika zaidi.

View attachment 679527

Cheko La mnafiki Asiyejua nini afAnye anapogombana na mumewe ya ugomvi Anatoka sebuleni watoto wajue
 
9cda3c48c2f6393d907dcf09cf99b116.jpg
 
kuna jambo linanishangaza...muda wote Lissu anatabasam,au anacheka..

'pamoja na maumivu,na kesi zinazomsubiri,pindi tu akirudi;hana dalili ya woga..'

basi tu kazaliwa bongo..bahati mbaya na...

yupo 'wrong place at the wrong time'
 
Ameponywa ili aendelee kutetea watu wa taifa lake, injili inakufaa wewe ukawahubirie wavaa hirizi waache bali wamvae roho mtakatifu.
Nyie wa migombani muhurumieni Lisu jamani, kwani hapo Ufipa hakuna bwashee wakili msomi mumtwishe hizo harakati!
 
Back
Top Bottom