Mungu aliyemuokoa anajua ni nini Lisu anachokifanya na kwa wakati upi atuwezi kumpangia cha kufanya,Mungu anakusudi naye.Napendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
Mpaka utakapoikata minyororo ya kitumwa uliyofungwa na mafisadi ya lumumba..ipo kazi!Anakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??
Sidhani kama uwezo wa kuendelea kumdanganya mtakuwa nao tena, maana mwenye chama amesema hataki tena siasa za kiharakati bali anataka majadiliano na undugu asiyetaka ahamie TLP!Muujiza unaimarisha imani kukua.
Mungu aliyemuokoa anajua ni nini Lisu anachokifanya na kwa wakati upi atuwezi kumpangia cha kufanya,Mungu anakusudi naye.
Basi ujue hakuna kukutana na kiongozi yeyote mwandamizi wa ulaya.Mpaka utakapoikata minyororo ya kitumwa uliyofungwa na mafisadi ya lumumba..ipo kazi!
Mwambieni Huyo mtu wenu ajiandae kwenda ICCAnakutana na viongozi waandamizi wa ulaya lini??
Nyie mmeshindwa, watanzania wamewakataa mmeanza kutegemea wagonjwa mpate huruma ya wananchi.Ameponywa ili aendelee kutetea watu wa taifa lake, injili inakufaa wewe ukawahubirie wavaa hirizi waache bali wamvae roho mtakatifu.
Kila mtu anasikitika kwa kitendo alichofanyiwa. Ila binafsi namfananisha Lissu na mtu anayekifukuza kivuli chake. Ukweli utajulikana atakaporejea nchini. Tunaomba arejee akiwa mzima wa afya.Ni hatua nzuri sana hii na ni ushindi mkubwa dhidi watu waoga na ambao hawajastaraabika.
Kwa Lissu tunahitaji brain yake tu kuliko kitu kingine chochote kile.
Lissu ni mwanasiasa sio mwanariadha.
Umetumia neno atakutana, meaning kwamba ni wakati ujao. Yaweza kuwa mwezi ujao. Hivyo hung on for now, if you like.Kwani zile tetesi ataonana na viongozi waandamizi wa ulaya zimeishia wapi??
Mkuu nikuulize ....we ulitaka usikie hatatembea tena? Siasa zisikutoe utu wako. Leo kapigwa risasi Lisu kwasababu mpinzani ukiisha upinzani unadhani what will be next? Tuwe na mioyo ya utu tusisahau kuna maisha baada ya hapahahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......
Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?
Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Icc ni rahisi sana kuitaja nyie wana ufipa eeh, sio kijiwe cha kahawa kile.Mwambieni Huyo kichaa wenu ajiandae kwenda ICC
Serikali haina uwezo wa kumzuia Mungu kumponya Lisu lkn pia serikali bado ina nguvu kuliko huyo Lisu, mshauri asitumia lugha mbaya au kali kupinga serikaliNaona serikali na nguvu zake zote imeshindwa kumzuia MUNGU KUMPONYA TUNDU LISU. ATUKUZWE MUNGU JUU MBINGUNI
Kwani nimesema amekutana nao lini?? Nimesema atakutana nao lini.Umetumia neno atakutana, meaning kwamba ni wakati ujao. Yaweza kuwa mwezi ujao. Hivyo hung on for now, if you like.
Basi sawa, sasa tusubiri, aliyeanzisha uzi alituambia atatu update. Tuwe wavumilivu tu.Kwani nimesema amekutana nao lini?? Nimesema atakutana nao lini.
Somo la lugha nilifaulu ngazi zote with flying colors.
Ww ndio unapanga nani afanye nn ?Napendekeza baada ya muujiza huu wa uponywaji Lissu aachane kabisa na siasa badala yake aielekee Injili iliyo kweli na hakika, amen!
Ivi kwanini hamumpendi lisu ccm?hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......
Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?
Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Hayo matango pori unayolisha utavimbiwa muda siyo mrefu ....!hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......
Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?
Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?