Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Hapo sasa!
 
Back
Top Bottom