Picha: Tundu Lissu akiwa Ubelgiji, ameweza kutembea mwenyewe kwa kutumia gongo, hali yake yazidi kuimarika zaidi

Siku ukipata akili na kujitambua ndio itakuwa siku yenyewe

20180119_101744.png

Poa wazee wa kukomboa nchi.
 
hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
 
Daah Mungu anaona wale waharibifu. Sijui nafsi zao zinajisikiaje am a ndo kupata wendawazimu kwa damu wanazomwaga
 
hahahah wewe bila shaka utakuwa na tatizo kichwani yani unatwambia ameweza kutembea mwenyewe halafu papo hapo unasema ametumia magongo......

Kwani ukisema ametembea kwa kusaidiwa na magongo kuna shida gani?
Huwa mkileta habari za Lissu mnaleta na chumvi nyingi.....sasa picha gni hapo inaonesha ana tembea...?

Kikao chake na viongozi wa ulaya ni lini?
Mmemwambia kuwa kamati kuu imewaonya yeye na wenzie kwa kumsema mwenye chama Lowasa?
Trilioni 300 zimesha lipwa??
 
Back
Top Bottom