Picha: Traffic wa Taleban akiongoza magari katika mji wa Kandahar hapo jana

hapa mwanangu na kimkweche changu sivunji sheria ya barabaran
 
Safi sana chuma mkononi,kama US anawakimbia hawa wataleban atawezana na Iran mwenye technology ya kuunda silaha za kisasa za kivita?
 
Traffic
FB_IMG_16292022186647361.jpg
 
Sasa mtu kachukua inchi jana tu, leo unataka aje barabarani kajipodoa?

Hiyo hali usishangae ikaendelea hata mwaka mzima.
 
Marekani naye hakujufunza huko kote uingereza ilikuwa taifa lenye nguvu duniani likaivamia Afghanistan wakashindwa wakaja Umoja wa nchi za kisovieti nao waliivamia hiyo nchi mwisho wakaondoka anakuja marekani na yeye anajaribu kuivamia nchi hiyo hiyo miaka 20 anaamua kuondoka akitegemea kaacha demokrasia ndani ya Week tatu tu serikali chalii.Jifunze kupitia kwa makosa ya wengine,hizi nchi nyengine ziachwe tu na mifumo yao waitakayo kuzilamizisha mfumo wa demokrasia ni sawa na kumlazimisha punda akanywe maji mtoni utamlazimisha aende atafika mtoni ila hautaweza kumlazimisha kunywa maji kamwe.kama mtoto alikuwa na miaka 5 wakati nchi inavamiwa leo hii ana miaka 25 kajiunga tayari na Taleban.Wamarekani wataendelea kushinda vita kwenye film za Hollywood tu.Hii ni aibu kwa mabilioni ya miaka 20 kuwalipa hawa viongozi na kuwapa mafunzo serikali leo imeondolewa kwa week 3 dahh.
 
Naangalia CNN hapa kuna huyu reporter wao Charissa Ward ni KE anaripoti live kutoka Kabul nyuma yake kuna Mataliban kama 6 au 7 hivi na mitutu yao tayari tayari kama vile wanategemea kushambuliwa dakika yoyote.
Huyo charisa wad ni reporter wa CNN au taleban
 
Kwa muda wa miaka ishirini, hao watu walikuwa wamejificha mashambani, wengi wa matalibani walioiteka Kabur hawakuwa wamewahi kufika kabur mpaka hivi karibuni.

Inasemekana huko kabur ni full vitiko, mtu anaenda anachagua nyumba aliyoipenda anasema yake, hata kabla wenye nyumba hawajaandoka jamaa wanaanza kuchezea remote za tv, wanafungua mafride na kujirusha vitandani.
 
Wametoa jasho Acheni waenjoy maisha kila mtaleban anachagua kitengo tu
 
Back
Top Bottom